Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

STARS YANG’ARA, YAICHAPA CAR 3-1

TIMU ya Taifa ya Tanzania imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Taifa Stars yamefungwa na kiungo Novatus Dismas Miroshi, wa Beitar Tel Aviv Bat Yam FC ya Israel dakika ya 10 na washambuliaji, Nahodha Mbwana Ally Samatta wa Royal Antwerp ya Ubelgiji dakika ya 63 na George Mpole Mwaigomole wa Geita Gold ya nyumbani dakika ya 90 na ushei.

Bao pekee la Jamhuri ya Afrika ya Kati limefungwa na mshambuliaji wa Gasogi United ya Rwanda, Christian-Theodor Yawanendji-Malipangou kwa penalti dakika ya 66.

Stars iliyo chini ya kocha Mdenmark, Kim Poulsen itacheza mechi mbili zaidi katika kalenda hii ya FIFA, nyingine dhidi ya Botawana Jumamosi na dhidi ya Sudan Machi 29, zote Uwanja wa Benjamin Mkapa pia.

Nazo CAR na Sudan zitamenyana Jumamosi.

[QUOTE="Amir, post: 1305, member: 20"] [HEADING=2]STARS YANG’ARA, YAICHAPA CAR 3-1[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLJIOZYYugL0OqMimm5hgWdroGz4rSXQ_KGGzk8o-V3g_jeSVR-h3PutAv8CJGQDbEKPGgTmnC6BuAd0_znQCyE-ooizXU2J5GDGXbpvjdNdYS93WBCj3zxnwTlfBgP05ruxp2506cz253Y92QeRJbWiqq1KgcB9ncHv_QlMVTqJRfoU8gZAvKLmqq/w640-h532/570F39F8-EA5B-4258-9311-649CC55BFF4F.jpeg[/IMG] TIMU ya Taifa ya Tanzania imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Taifa Stars yamefungwa na kiungo Novatus Dismas Miroshi, wa Beitar Tel Aviv Bat Yam FC ya Israel dakika ya 10 na washambuliaji, Nahodha Mbwana Ally Samatta wa Royal Antwerp ya Ubelgiji dakika ya 63 na George Mpole Mwaigomole wa Geita Gold ya nyumbani dakika ya 90 na ushei. Bao pekee la Jamhuri ya Afrika ya Kati limefungwa na mshambuliaji wa Gasogi United ya Rwanda, Christian-Theodor Yawanendji-Malipangou kwa penalti dakika ya 66. Stars iliyo chini ya kocha Mdenmark, Kim Poulsen itacheza mechi mbili zaidi katika kalenda hii ya FIFA, nyingine dhidi ya Botawana Jumamosi na dhidi ya Sudan Machi 29, zote Uwanja wa Benjamin Mkapa pia. Nazo CAR na Sudan zitamenyana Jumamosi. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBYSqAHSvseb5PIz5x-A1nnN0_fhUSQrDGX5Nh-GK2DXUomuXyel92zKjWY-Ast3Gw-WR2ixdbjAnMmqSZJtT7YBP1B8iiqprxG9RK1pD766E-PLsUeq3RWTUfHazWgmErNdHU-XIRsfxpcV7otTI9Tvaw-_9VC0fCkc0_4FKlihGIipgJDuaePOxo/s1242/D3D3BA7A-EFAE-4B1B-982E-162F7111A552.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBYSqAHSvseb5PIz5x-A1nnN0_fhUSQrDGX5Nh-GK2DXUomuXyel92zKjWY-Ast3Gw-WR2ixdbjAnMmqSZJtT7YBP1B8iiqprxG9RK1pD766E-PLsUeq3RWTUfHazWgmErNdHU-XIRsfxpcV7otTI9Tvaw-_9VC0fCkc0_4FKlihGIipgJDuaePOxo/w640-h382/D3D3BA7A-EFAE-4B1B-982E-162F7111A552.jpeg[/IMG][/URL] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
Top
Bottom