Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TAIFA STARS KUANZA NA SOMALIA KUFUZU CHAN YA MWAKANI

TANZANIA itaanzia ugenini kwa Somalia katika kuwania tiketi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwakani nchini Algeria.

Mechi hiyo itachezwa kati ya Julai 22 na 24, kabla ya timu hizo kurudiana Tanzania kati ya Julai 29 na 31 katika mkoa utakaotajwa baadaye na mshindi wa jumla atasonga mbele kwenye mechi za mchujo zitakazofikia tamati Septemba 2, mwaka huu.

Fainali za CHAN ilikuwa zifanyike Julai 10 hadi Agosti 1, mwaka huu lakini Shirikisho la Soka (CAF) likasogeza hadi mwakani kutokana na kuahirishwa kwa fainali za zilizopita kusogezwa mbele sababu ya Janga la maambukizi ya virusi vya corona.

Ikumbukwe mwezi ujao, Taifa Stars itakuwa na mechi mbili za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Taifa Stars itakuwa mgeni wa Niger katika mchezo wa kwanza wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Juni 4 Uwanja wa L'Amitié mjini Cotonou.

Baada ya Taifa Stars itarejea nyumbani kwa mchezo wa pili wa Kundi F dhidi ya Algeria Juni 8 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuwania tiketi ya Ivory Coast 2023.

[QUOTE="vuligate, post: 1496, member: 123"] [HEADING=2]TAIFA STARS KUANZA NA SOMALIA KUFUZU CHAN YA MWAKANI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiH7a3ykuJFSGZo6uZIVGagJUoQet_JmFyzqyB5REToIEsjOfNAuN2dy_32IqtGBqbfd_AXL5-REwSmJIG1b7ljsgrWyBGQ6kaIn3FJeiD75W0PXqZpo7R_Y93tW8sEJy4lBOHPHYRZzll-wkvd8oBGG7xPT3iTVK6YlqsCjFxt0FteMmcdFZ5i4ahv/s1242/F4C3EC99-B092-4B91-848B-387126F635C3.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiH7a3ykuJFSGZo6uZIVGagJUoQet_JmFyzqyB5REToIEsjOfNAuN2dy_32IqtGBqbfd_AXL5-REwSmJIG1b7ljsgrWyBGQ6kaIn3FJeiD75W0PXqZpo7R_Y93tW8sEJy4lBOHPHYRZzll-wkvd8oBGG7xPT3iTVK6YlqsCjFxt0FteMmcdFZ5i4ahv/w640-h420/F4C3EC99-B092-4B91-848B-387126F635C3.jpeg[/IMG][/URL] TANZANIA itaanzia ugenini kwa Somalia katika kuwania tiketi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwakani nchini Algeria. Mechi hiyo itachezwa kati ya Julai 22 na 24, kabla ya timu hizo kurudiana Tanzania kati ya Julai 29 na 31 katika mkoa utakaotajwa baadaye na mshindi wa jumla atasonga mbele kwenye mechi za mchujo zitakazofikia tamati Septemba 2, mwaka huu. Fainali za CHAN ilikuwa zifanyike Julai 10 hadi Agosti 1, mwaka huu lakini Shirikisho la Soka (CAF) likasogeza hadi mwakani kutokana na kuahirishwa kwa fainali za zilizopita kusogezwa mbele sababu ya Janga la maambukizi ya virusi vya corona. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvYuo52OuYEZ_oOmfluZ6-DAZCU_aRH-ihelzSAGQ1VXxNi61CNl0cNz8exHNet9PQ7cL1cRP9iNYfA44EiiP5_OBY5Igbn1vGEN-hLCWjAttUR1NA-HtCDxRgi2WFEzn8UqAQXnF-4SrnKZz_PL30Md5aU_C8Y8w2x5xDQy6w18eGjTQOmpGNAxg6/s1242/6D53A15D-4F33-4660-A2E3-4E1A99F10D6C.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvYuo52OuYEZ_oOmfluZ6-DAZCU_aRH-ihelzSAGQ1VXxNi61CNl0cNz8exHNet9PQ7cL1cRP9iNYfA44EiiP5_OBY5Igbn1vGEN-hLCWjAttUR1NA-HtCDxRgi2WFEzn8UqAQXnF-4SrnKZz_PL30Md5aU_C8Y8w2x5xDQy6w18eGjTQOmpGNAxg6/w640-h634/6D53A15D-4F33-4660-A2E3-4E1A99F10D6C.jpeg[/IMG][/URL] Ikumbukwe mwezi ujao, Taifa Stars itakuwa na mechi mbili za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Taifa Stars itakuwa mgeni wa Niger katika mchezo wa kwanza wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Juni 4 Uwanja wa L'Amitié mjini Cotonou. Baada ya Taifa Stars itarejea nyumbani kwa mchezo wa pili wa Kundi F dhidi ya Algeria Juni 8 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuwania tiketi ya Ivory Coast 2023. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
Top
Bottom