Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TAIFA STARS KUIFUATA NIGER KWA NDEGE YA KUKODI

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakwenda Benin kwa ndege ya kukodi kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Niger Juni 4 Uwanja wa L'Amitié mjini Cotonou.

Taarifa ya TFF imesema kutakuwa na nafasi 50 kwa wapenzi wa soka watakaotaka kwenda kuisapoti Taifa Stars ambao watalazimika kulipiadola za Kimarekani 1,000 – kwa taarifa Zaidi wafike TFF.

Baada ya hapo, Taifa Stars itarejea nyumbani kwa mchezo wa pili wa Kundi F dhidi ya Algeria Juni 8 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuwania tiketi ya Ivory Coast 2023.

Bahati nzuri kwa Stars, mshambuliaji wa mabingwa wa England, Manchester City, Riyad Mahrez, Said Benrahma na Sofiane Feghouli hawatakuwepo kwa mujibu wa kocha wa Algeria, Djamal Belmadi wote majeruhi.

Ikumbukwe Stars pia itaanzia ugenini kwa Somalia kati ya Julai 22 na 24 kuwania tiketi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwakani nchini Algeria, kabla ya timu hizo kurudiana Tanzania kati ya Julai 29 na 31 nchini na mshindi wa jumla atasonga mbele kwenye mechi za mchujo zitakazofikia tamati Septemba.

[QUOTE="vuligate, post: 1499, member: 123"] [HEADING=2]TAIFA STARS KUIFUATA NIGER KWA NDEGE YA KUKODI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghvBHELlBG6x6uqsZp5twp9oITpPg-nA_QNvwExlsbErUE5ifNs-ojSY_LxXnI-wki4K_8267T7-6pmZHfA3CbciNWxlqkwc-wNtpkD9CfteZ5AqGBdTLF6QC5ElS-TR7x-PC6U5-7ZH2PqB1xjGB8NtKWnioKVk7Cuwxn2ocWkwMWfrKOuHL7frBl/s1242/DB047B12-2306-4E2D-B6EB-5C4FA11C2F63.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghvBHELlBG6x6uqsZp5twp9oITpPg-nA_QNvwExlsbErUE5ifNs-ojSY_LxXnI-wki4K_8267T7-6pmZHfA3CbciNWxlqkwc-wNtpkD9CfteZ5AqGBdTLF6QC5ElS-TR7x-PC6U5-7ZH2PqB1xjGB8NtKWnioKVk7Cuwxn2ocWkwMWfrKOuHL7frBl/s16000/DB047B12-2306-4E2D-B6EB-5C4FA11C2F63.jpeg[/IMG][/URL] TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakwenda Benin kwa ndege ya kukodi kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Niger Juni 4 Uwanja wa L'Amitié mjini Cotonou. Taarifa ya TFF imesema kutakuwa na nafasi 50 kwa wapenzi wa soka watakaotaka kwenda kuisapoti Taifa Stars ambao watalazimika kulipiadola za Kimarekani 1,000 – kwa taarifa Zaidi wafike TFF. Baada ya hapo, Taifa Stars itarejea nyumbani kwa mchezo wa pili wa Kundi F dhidi ya Algeria Juni 8 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuwania tiketi ya Ivory Coast 2023. Bahati nzuri kwa Stars, mshambuliaji wa mabingwa wa England, Manchester City, Riyad Mahrez, Said Benrahma na Sofiane Feghouli hawatakuwepo kwa mujibu wa kocha wa Algeria, Djamal Belmadi wote majeruhi. Ikumbukwe Stars pia itaanzia ugenini kwa Somalia kati ya Julai 22 na 24 kuwania tiketi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwakani nchini Algeria, kabla ya timu hizo kurudiana Tanzania kati ya Julai 29 na 31 nchini na mshindi wa jumla atasonga mbele kwenye mechi za mchujo zitakazofikia tamati Septemba. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiI9sQq1mzvxxE625CDJ2Q9q1QzahYEQAGZcph4VRLA7rgJZ5GZJ5OdWJYvqwG-PCgZI5FBnU-P8NuP9KL74Vfhi9BJ72mdAcqlP0IJTtzOT9E0eACJYJUqbEGmN1ZnNVM_Jmw7zL4L5uN9hI5spCBGM6kzUBvatejKAC8eiOOO3VN-kd90a1v3ojNs/s1080/06E7164E-5A6D-43FB-B8AD-3F3BB8899F92.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiI9sQq1mzvxxE625CDJ2Q9q1QzahYEQAGZcph4VRLA7rgJZ5GZJ5OdWJYvqwG-PCgZI5FBnU-P8NuP9KL74Vfhi9BJ72mdAcqlP0IJTtzOT9E0eACJYJUqbEGmN1ZnNVM_Jmw7zL4L5uN9hI5spCBGM6kzUBvatejKAC8eiOOO3VN-kd90a1v3ojNs/w640-h640/06E7164E-5A6D-43FB-B8AD-3F3BB8899F92.jpeg[/IMG][/URL] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
Top
Bottom