Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

KIINGILIO TAIFA STARS NA ALGERIA NI SH 3,000 KESHO DAR

KIINGILIO cha chini katika mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Ivory Coast baina ya wenyeji, Tanzania na Algeria ni Sh. 3,000.

Bei hiyo ni kwa majukwaa ya mzunguko, wakati kwa VIP A, B na C ni Sh. 5,000.

Ikumbukwe mechi za kwanza za kuwania tiketi ya Ivory Coast, wakiwa nyumbani Jijini Algiers, Algeria waliichapa Uganda 2-0 na Taifa Stars wakiwa ugenini Jijini Cotonou nchini Benin, walitoa sare ya 1-1 na Niger.

Mbali na Stars na Algeria kumenyana kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, jirani zao, Uganda watakuwa wenyeji wa Niger Jijini Kampala.

[QUOTE="vuligate, post: 1509, member: 123"] [HEADING=2]KIINGILIO TAIFA STARS NA ALGERIA NI SH 3,000 KESHO DAR[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgy5bl3JYFVtSA898oqCsL81w8hivSQUxljjK4347karcjN33ApRjchMh9cHlYcBnCu0R9IuCC1wDYxK-q71NhSK7RRePdQ7veHMY2iEOUJX0zyuYN08kuYvYYaHrihCjFtHFy1Ld5VtiFrDKFT4Ypo74H7rmzFnkMNiRCr6BkF-TlmLrjCMoq6VdMP/s828/E820D7EC-9037-41C3-B54C-848355B60EEA.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgy5bl3JYFVtSA898oqCsL81w8hivSQUxljjK4347karcjN33ApRjchMh9cHlYcBnCu0R9IuCC1wDYxK-q71NhSK7RRePdQ7veHMY2iEOUJX0zyuYN08kuYvYYaHrihCjFtHFy1Ld5VtiFrDKFT4Ypo74H7rmzFnkMNiRCr6BkF-TlmLrjCMoq6VdMP/w640-h640/E820D7EC-9037-41C3-B54C-848355B60EEA.jpeg[/IMG][/URL] KIINGILIO cha chini katika mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Ivory Coast baina ya wenyeji, Tanzania na Algeria ni Sh. 3,000. Bei hiyo ni kwa majukwaa ya mzunguko, wakati kwa VIP A, B na C ni Sh. 5,000. Ikumbukwe mechi za kwanza za kuwania tiketi ya Ivory Coast, wakiwa nyumbani Jijini Algiers, Algeria waliichapa Uganda 2-0 na Taifa Stars wakiwa ugenini Jijini Cotonou nchini Benin, walitoa sare ya 1-1 na Niger. Mbali na Stars na Algeria kumenyana kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, jirani zao, Uganda watakuwa wenyeji wa Niger Jijini Kampala. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
Top
Bottom