Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

STARS YACHAPWA 2-0 NA ALGERIA DAR KUFUZU AFCON

TANZANIA imejiwekea ukungu kwenye safari yake ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani Ivory Coast baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Algeria usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Algeria yamefungwa na Amir Selmane Ramy Bensebaïni dakika ya 45 na ushei na M. Amoura dakika ya 89 na kwa matokeo hayo Algeria inafikisha pointi sita na kuendelea kuongozi kundi F kufuatia ushindi wa 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Uganda Jijini Algiers Jumamosi.

Taifa Stars baada ya sare ya 1-1 ugenini na Niger sasa ni ya tatu. Niger baada ya sare ya 1-1 na Uganda leo Jijini Kampala inapanda nafasi ya pili na Uganda sasa inashika mkia.

[QUOTE="vuligate, post: 1511, member: 123"] [HEADING=2]STARS YACHAPWA 2-0 NA ALGERIA DAR KUFUZU AFCON[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSgdfoRMvx-97fp3zUZTbu2Y-mJUC2SYigHbvxt3WEUQZ-AkDSuDnPA6WqRtAXKkecBPWzYh05doeHZQj6G8rykFGS4YPZyu8ZZ832HZcgsEjdFEvM8zFLLk4f8wUSVvHybVQXO02tVC99ZubRZFZAu-oCOWDwhtsA9svatbPOVoOId_YSi-07XQyH/s1242/A49DE529-30C7-4C57-BD82-56EDCAF02D08.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSgdfoRMvx-97fp3zUZTbu2Y-mJUC2SYigHbvxt3WEUQZ-AkDSuDnPA6WqRtAXKkecBPWzYh05doeHZQj6G8rykFGS4YPZyu8ZZ832HZcgsEjdFEvM8zFLLk4f8wUSVvHybVQXO02tVC99ZubRZFZAu-oCOWDwhtsA9svatbPOVoOId_YSi-07XQyH/w640-h420/A49DE529-30C7-4C57-BD82-56EDCAF02D08.jpeg[/IMG][/URL] TANZANIA imejiwekea ukungu kwenye safari yake ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani Ivory Coast baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Algeria usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Algeria yamefungwa na Amir Selmane Ramy Bensebaïni dakika ya 45 na ushei na M. Amoura dakika ya 89 na kwa matokeo hayo Algeria inafikisha pointi sita na kuendelea kuongozi kundi F kufuatia ushindi wa 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Uganda Jijini Algiers Jumamosi. Taifa Stars baada ya sare ya 1-1 ugenini na Niger sasa ni ya tatu. Niger baada ya sare ya 1-1 na Uganda leo Jijini Kampala inapanda nafasi ya pili na Uganda sasa inashika mkia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Taifa Stars
Top
Bottom