Takwimu za Fred Kwenye mashindano yote msimu huu

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
FRED (takwimu)

✍️ Frederico Rodrigues (Fred) sasa amehusika katika mabao sita katika mechi nane zilizopita za mashindano yote.

michezo 8
mabao 3
pasi za mabao 3

✍️ Fred pia ameifungia Manchester United mabao 5 katika mashindano yote msimu huu hadi sasa, mabao hayo ni mengi zaiidi kwa Kiungo huyu kuwahi kuyafunga ndani ya msimu mmoja katika career yake.

Fred katika mashindano yote msimu huu hadi sasa

michezo 34
ameanza michezo 18
dakika alizocheza 1553
mabao 5
pasi za mabao 3
amehusika katika mabao 8
ana wastani wa kuhusika katika bao kila baada ya dakika 149

✍️ Fred dhidi ya Barcelona hapo jana

dakika alizocheza 90
mabao 1
pasi za mabao 0
kugusa mpira x 47
jumla ya pasi 25 (sahihi 21)
kiwago cha kukamilika kwa pasi 84%
jumla ya mashuti 3 (on target 1)
mashuti aliyozuia 1
mipira ya hatari aliyondosha langoni kwake 2
jumla ya mipira ya kugonbania 18
mipira ya kugombania aliyoshinda 6
pasi alizoingilia zilizokuwa zikielekea kwa adui 1
kukabiliana (tackles) 5
faulo alizocheza 3

1677224465816.png
 
  • Like
Reactions: Lukac