Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Takwimu Za Simba Na Yanga Misimu 5 Iliyopita | Nani Unamuona Akishinda Mchezo Wa Dabi Tarehe 19?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Dockham" data-source="post: 11268" data-attributes="member: 7741"><p>Tukizungumza kimpira kulingana na takwimu inaonesha wazi kuwa yanga amemfunga zaidi simba.Na pia kwa sasa yanga haijabomoa kikosi,bali imeimarisha tu eneo la ushambuliaji kwa kumleta prince dube, pia kuwabakiza wachezaji muhimu kama stefan aziz ki ni jambo lenye kufanya yanga ibaki kwenye ubora wake.</p><p>Tofauti na simba ambao wamesajili wachezaji wengi wapya,hivyo bado wanajenga timu,na angalau wanaenda kujipata.Mimi naipa credit zaidi yanga kupata ushindi kulingana na takwimu na ubora wa wachezaji wao ambao wana profiles kubwa zaidi kuliko wachezaji wa simba ambao bado wanaendelea kukua kisoka na hawana experience kubwa kwenye football</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Dockham, post: 11268, member: 7741"] Tukizungumza kimpira kulingana na takwimu inaonesha wazi kuwa yanga amemfunga zaidi simba.Na pia kwa sasa yanga haijabomoa kikosi,bali imeimarisha tu eneo la ushambuliaji kwa kumleta prince dube, pia kuwabakiza wachezaji muhimu kama stefan aziz ki ni jambo lenye kufanya yanga ibaki kwenye ubora wake. Tofauti na simba ambao wamesajili wachezaji wengi wapya,hivyo bado wanajenga timu,na angalau wanaenda kujipata.Mimi naipa credit zaidi yanga kupata ushindi kulingana na takwimu na ubora wa wachezaji wao ambao wana profiles kubwa zaidi kuliko wachezaji wa simba ambao bado wanaendelea kukua kisoka na hawana experience kubwa kwenye football [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Takwimu Za Simba Na Yanga Misimu 5 Iliyopita | Nani Unamuona Akishinda Mchezo Wa Dabi Tarehe 19?
Top
Bottom