Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Tanzania Kushiriki Kombe la Dunia.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania inatarajia kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kumalizika mashindano ya mwaka huu 2022 yanayofanyika Qatar kutokana na mikakati kabambe ya maandalizi inayoendelea hizi sasa.

Mhe. Mchengerwa amesema hayo leo Februari 8, 2022 jijini Dar es Salaam kwenye halfa iliyoandaliwa na ubalozi wa Qatar, kuadhimisha siku ya michezo ya nchi hiyo inayofanyika kila jumanne ya mwezi Februari kila mwaka, ambapo Mhe.Balozi Hussain bin Ahmad Al Homaid na Mhe. Waziri Mchengerwa waliongoza mazoezi ya kutembea uwanjani kama ishara ya ushiriki wa maadhimisho ya siku hiyo.

Katika halfa hiyo aliyoambatana na Katibu Mkuu wake, Dkt. Hassan Abbasi, Naibu Katibu Mkuu, Saidi Yakubu na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha, amesema Tanzania inakusudia kushiriki katika mashindano hayo kutokana na mikakati kabambe iliyojiwekea ikiwa ni pamoja na kuboresha miundombinu ya michezo nchi nzima.

“Sisi kama taifa ni muhimu tukubali ili kufanikisha zoezi hili la kushiriki mashindano makubwa kama haya lazima kujiandaa na kuboresha miundo mbinu ya michezo ambapo kwa sasa tumeshatenga shule 56 nchi nzima kwa ajili ya michezo”. Amefafanua Mhe, Mchengerwa.

Aidha, amesema Serikali inakusudia kujenga viwanja vikubwa vya ndani ambavyo vinajumuisha michezo mbalimbali viwili kwenye mji wa Dar es Salaam na Dodoma pia tunatarajia kujenga maeneo makubwa ya burudani.

Amemwomba Balozi wa Qatar Mhe. Hussain Bin Ahmad Al Homaid kuisaidia Tanzania kwenye eneo la miundombinu ili kuendelea kuimarisha uhusiano uliojengeka baina ya nchi hizo mbili.

Amemhakikishia Balozi kuwa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ipo tayari kuendelea kushirikiana wakati wowote kwenye sekta za michezo, Sanaa na Utamaduni kwa faida ya wananchi wa nchi zote mbili.

[QUOTE="Amir, post: 806, member: 20"] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/mchengerwa.jpg[/IMG] Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania inatarajia kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kumalizika mashindano ya mwaka huu 2022 yanayofanyika Qatar kutokana na mikakati kabambe ya maandalizi inayoendelea hizi sasa. Mhe. Mchengerwa amesema hayo leo Februari 8, 2022 jijini Dar es Salaam kwenye halfa iliyoandaliwa na ubalozi wa Qatar, kuadhimisha siku ya michezo ya nchi hiyo inayofanyika kila jumanne ya mwezi Februari kila mwaka, ambapo Mhe.Balozi Hussain bin Ahmad Al Homaid na Mhe. Waziri Mchengerwa waliongoza mazoezi ya kutembea uwanjani kama ishara ya ushiriki wa maadhimisho ya siku hiyo. Katika halfa hiyo aliyoambatana na Katibu Mkuu wake, Dkt. Hassan Abbasi, Naibu Katibu Mkuu, Saidi Yakubu na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha, amesema Tanzania inakusudia kushiriki katika mashindano hayo kutokana na mikakati kabambe iliyojiwekea ikiwa ni pamoja na kuboresha miundombinu ya michezo nchi nzima. “Sisi kama taifa ni muhimu tukubali ili kufanikisha zoezi hili la kushiriki mashindano makubwa kama haya lazima kujiandaa na kuboresha miundo mbinu ya michezo ambapo kwa sasa tumeshatenga shule 56 nchi nzima kwa ajili ya michezo”. Amefafanua Mhe, Mchengerwa. Aidha, amesema Serikali inakusudia kujenga viwanja vikubwa vya ndani ambavyo vinajumuisha michezo mbalimbali viwili kwenye mji wa Dar es Salaam na Dodoma pia tunatarajia kujenga maeneo makubwa ya burudani. Amemwomba Balozi wa Qatar Mhe. Hussain Bin Ahmad Al Homaid kuisaidia Tanzania kwenye eneo la miundombinu ili kuendelea kuimarisha uhusiano uliojengeka baina ya nchi hizo mbili. Amemhakikishia Balozi kuwa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ipo tayari kuendelea kushirikiana wakati wowote kwenye sekta za michezo, Sanaa na Utamaduni kwa faida ya wananchi wa nchi zote mbili. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Tanzania Kushiriki Kombe la Dunia.
Top
Bottom