Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Tanzania na Ukuaji wa Soko la Ubashiri Mitandaoni.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Michezo Maarufu zaidi ya Kubashiri Mtandaoni.

Ingawa kubashiri matokeo ya michezo ndio sehemu maarufu zaidi, sekta hii ya kubashiri mtandaoni inahusisha michezo mingine mashuhuri, rahisi na pengine yenye nafasi kubwa zaidi ya ushindi kuliko kubashiri matokeo ya michezo. Ifuatayo ni michezo ya mtandaoni ambayo inapatikana zaidi kwa mazingira ya Tanzania:

Roulette

Roulette ni mojawapo ya michezo ya mezani inayochezwa zaidi katika kasino za mtandaoni na madukani nchini Tanzania. Kuna aina nyingi sana za roulette duniani kote lakini zinazochezwa zaidi Tanzania ni:

Roulette ya Ulaya

Hii ni mojawapo ya Roulette maarufu zaidi hasa kutokana na urahisi wa kushinda kwa wateja. Gurudumu la aina hii ya roulette limegawanywa katika vijisanduku vyenye namba kuanzia 1 hadi 37, vyekundu na vyeusi. Ili kushinda katika roulette hii unaweka dau kwenye namba ambapo anatabiri mpira utaangukia wakati gurudumu litakapoacha kuzunguka. Pia, unaweza kuweka dau kwenye rangi ambayo unafikiri mpira utaangukia.

Roulette ya Ufaransa

Mchezo wa roulette ya Ufaransa una gurudumu sawa na la roulette ya Ulaya kwani nayo ina vijisanduku 37. Namba 1 hadi 36 zina rangi nyeusi au nyekundu na sehemu moja ya sifuri ina rangi ya kijani.

Roulette ya Marekani
Roulette ya Marekani ni tofauti kidogo na roulette nyingine kwani yenyewe inajumuisha namba 38, 1-36 (kijani na nyekundu), 0 (kijani), 00 (kijani). Sheria zinabakia sawa na uchezaji ni sawa na ule wa aina nyingine.

Kasino za Mtandaoni

Licha ya kuwa na kasino nyingi za mtaani kote nchini pia kuna idadi kubwa na ya kuridhisha ya tovuti za kasino zilizoidhinishwa.

Kasino ya mtandaoni ina faida nyingi kulinganisha na kasino za madukani. Faida mojawapo ni kuwa kasino ya mtandaoni ni kuwa mchezaji anao uhuru wa kucheza hata akiwa nyumbani bila kulazimika kutafuta jumba la kasino. Ili uweze kucheza kamari katika kasino ya madukani itakubidi utembelee kasino iliyo karibu na wewe, na ukweli ni kwamba sio mara zote utakua katika mazingira hayo. Lakini pia nchini Tanzania kasino zinapatikana kwa uchache sana hasa katika miji mikubwa tu kama Dar es Salaam, Mbeya, Dodoma, Arusha na Mwanza!

Faida nyingine ya kasino ya mtandaoni ni uwepo wa njia nyingi mbalimbali za kuweka na kutoa pesa. Kasino nyingi za mtandaoni nchini hupokea malipo na kutoa pesa kutumia njia kama vile:

Visa

Mastercard

Malipo ya njia ya simu

Skrill na

Bitcoin

[QUOTE="vuligate, post: 530, member: 123"] [HEADING=1]Michezo Maarufu zaidi ya Kubashiri Mtandaoni.[/HEADING] Ingawa kubashiri matokeo ya michezo ndio sehemu maarufu zaidi, sekta hii ya kubashiri mtandaoni inahusisha michezo mingine mashuhuri, rahisi na pengine yenye nafasi kubwa zaidi ya ushindi kuliko kubashiri matokeo ya michezo. Ifuatayo ni michezo ya mtandaoni ambayo inapatikana zaidi kwa mazingira ya Tanzania: [LIST] [*][I]Roulette[/I] [/LIST] Roulette ni mojawapo ya michezo ya mezani inayochezwa zaidi katika kasino za mtandaoni na madukani nchini Tanzania. Kuna aina nyingi sana za roulette duniani kote lakini zinazochezwa zaidi Tanzania ni: [LIST=1] [*]Roulette ya Ulaya [/LIST] Hii ni mojawapo ya Roulette maarufu zaidi hasa kutokana na urahisi wa kushinda kwa wateja. Gurudumu la aina hii ya roulette limegawanywa katika vijisanduku vyenye namba kuanzia 1 hadi 37, vyekundu na vyeusi. Ili kushinda katika roulette hii unaweka dau kwenye namba ambapo anatabiri mpira utaangukia wakati gurudumu litakapoacha kuzunguka. Pia, unaweza kuweka dau kwenye rangi ambayo unafikiri mpira utaangukia. [LIST=1] [*]Roulette ya Ufaransa [/LIST] Mchezo wa roulette ya Ufaransa una gurudumu sawa na la roulette ya Ulaya kwani nayo ina vijisanduku 37. Namba 1 hadi 36 zina rangi nyeusi au nyekundu na sehemu moja ya sifuri ina rangi ya kijani. [LIST=1] [*]Roulette ya Marekani Roulette ya Marekani ni tofauti kidogo na roulette nyingine kwani yenyewe inajumuisha namba 38, 1-36 (kijani na nyekundu), 0 (kijani), 00 (kijani). Sheria zinabakia sawa na uchezaji ni sawa na ule wa aina nyingine. [/LIST] [LIST] [*][I]Kasino za Mtandaoni[/I] [/LIST] Licha ya kuwa na kasino nyingi za mtaani kote nchini pia kuna idadi kubwa na ya kuridhisha ya tovuti za kasino zilizoidhinishwa. Kasino ya mtandaoni ina faida nyingi kulinganisha na kasino za madukani. Faida mojawapo ni kuwa kasino ya mtandaoni ni kuwa mchezaji anao uhuru wa kucheza hata akiwa nyumbani bila kulazimika kutafuta jumba la kasino. Ili uweze kucheza kamari katika kasino ya madukani itakubidi utembelee kasino iliyo karibu na wewe, na ukweli ni kwamba sio mara zote utakua katika mazingira hayo. Lakini pia nchini Tanzania kasino zinapatikana kwa uchache sana hasa katika miji mikubwa tu kama Dar es Salaam, Mbeya, Dodoma, Arusha na Mwanza! Faida nyingine ya kasino ya mtandaoni ni uwepo wa njia nyingi mbalimbali za kuweka na kutoa pesa. Kasino nyingi za mtandaoni nchini hupokea malipo na kutoa pesa kutumia njia kama vile: [LIST=1] [*]Visa [*]Mastercard [*]Malipo ya njia ya simu [*]Skrill na [*]Bitcoin [/LIST] [HEADING=1][/HEADING] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Tanzania na Ukuaji wa Soko la Ubashiri Mitandaoni.
Top
Bottom