Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Tanzania na Ukuaji wa Soko la Ubashiri Mitandaoni.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Sio Burudani Pekee.

Moja ya kadhia kubwa wanayokumbana nayo wateja wa kampuni zinazojihusisha na michezo ya kubashiri ni ile dhana ya wengi kuwa kubashiri ni jambo la kupoteza muda tu na ni kazi inayofanywa na watu waliopoteza ramani maishani!

Sio kweli kwamba kila anayejishughulisha na ubashiri mtandaoni hana ajira. Ikumbukwe kuwa Tanzania inapitia ukuaji wa haraka sana wa miji, hali inayopelekea ajira nyingi zaidi ambazo zinachangia ukuaji wa mapato yanayoweza kutumika kwa shughuli za burudani ikiwemo kubashiri mtandaoni.

Kama ilivyo katika starehe nyingine, watu wasio na ajira hawakatazwi kujihusisha na masuala ya ubashiri wa mtandaoni. Tofauti ya starehe nyingine na hii ni kuwa hapa mchezaji haishii kupoteza pesa lakini anaweza kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa kama akiwa na nidhamu ya namna ya kucheza.

Zaidi ya watu 30,000 nchini Tanzania wameajiriwa katika makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubashiri mtandaoni. Hii ina maana kwamba michezo ya kubahatisha inakuwa chanzo muhimu cha ajira. Sekta hii kwa sasa inachangia zaidi ya 3% ya pato la taifa kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari.

[QUOTE="vuligate, post: 531, member: 123"] [HEADING=1]Sio Burudani Pekee.[/HEADING] Moja ya kadhia kubwa wanayokumbana nayo wateja wa kampuni zinazojihusisha na michezo ya kubashiri ni ile dhana ya wengi kuwa kubashiri ni jambo la kupoteza muda tu na ni kazi inayofanywa na watu waliopoteza ramani maishani! Sio kweli kwamba kila anayejishughulisha na ubashiri mtandaoni hana ajira. Ikumbukwe kuwa Tanzania inapitia ukuaji wa haraka sana wa miji, hali inayopelekea ajira nyingi zaidi ambazo zinachangia ukuaji wa mapato yanayoweza kutumika kwa shughuli za burudani ikiwemo kubashiri mtandaoni. Kama ilivyo katika starehe nyingine, watu wasio na ajira hawakatazwi kujihusisha na masuala ya ubashiri wa mtandaoni. Tofauti ya starehe nyingine na hii ni kuwa hapa mchezaji haishii kupoteza pesa lakini anaweza kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa kama akiwa na nidhamu ya namna ya kucheza. Zaidi ya watu 30,000 nchini Tanzania wameajiriwa katika makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubashiri mtandaoni. Hii ina maana kwamba michezo ya kubahatisha inakuwa chanzo muhimu cha ajira. Sekta hii kwa sasa inachangia zaidi ya 3% ya pato la taifa kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya [B][URL='https://www.mwananchi.co.tz/']habari[/URL][/B]. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Tanzania na Ukuaji wa Soko la Ubashiri Mitandaoni.
Top
Bottom