Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Tanzania na Ukuaji wa Soko la Ubashiri Mitandaoni.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kuepuka Uraibu wa Michezo ya Kubashiri Mtandaoni

“Daah, mimi nimejaribu kupunguza kucheza michezo ya kubahatisha kwa muda wa miaka 6 sasa ila nimeshindwa, ni kama nimekuwa teja kwani nikipata hela yote tu ninachezea mpaka nimepoteza familia yangu yaani mke na mtoto, kwa kweli mpaka pesa ya kula tulikuwa tunakosa kabisa. Nimejaribu kupunguza ila nimeshindwa!” – Jonasi Kagori

Je, wewe binafsi umeshapatwa na hali kama hii au mtu wako wa karibu ana hali kama hii? Unagundua umeshakuwa na uraibu au uteja wa kitu fulani pale ambapo unashindwa kuacha kukifanya au kukitumia kitu hicho hata kama kinakupatia hasara au kukuumiza kama ilivyokuwa kwa ndugu Kagori.

Haya ni mapendekezo yetu ya kanuni za kuzifuata ili uweze kufurahia michezo ya kubashiri mitandaoni huku ukiwajibika:

Michezo ya kubahatisha ni ya kujifurahisha, si njia pekee ya kujipata pesa;

Hakikisha kwamba unacheza wakati ukiwa umetulia na kuwa na amani;

Jipe muda wa mapumziko ya kawaida;

Amua mapema jinsi ambavyo hasara zako zinavyoweza kuwa ni kubwa;

Kamwe usicheze ukiwa umelewa au ukiwa na ushawishi wa vitu vingine;

Kamwe usicheze ukiwa na huzuni au mfadhaiko;

Kabla ya kuanza kucheza, amua ni kiasi gani cha kushinda ambacho utamaliza kwenye mchezo;

Usiongeze kikomo cha juu cha pesa za kutumia kwenye ubashiri wa mitandaoni ambacho umeamua kukiweka wewe mwenyewe; na

Amua mapema juu ya kiwango chako cha kila mwezi cha kutumia kwenye michezo ya kubashiri mitandaoni. Bila ya kujali kiwango chako cha kawaida cha miamala ya kutumia kubashiri, unaweza kuweka kiasi cha chini kama kikomo chako binafsi.

Kwa msaada zaidi na ushauri kuhusu michezo ya kubashiri mtandaoni, tafadhali tembelea BeGambleAware na GamStop.

[QUOTE="vuligate, post: 533, member: 123"] [HEADING=1]Kuepuka Uraibu wa Michezo ya Kubashiri Mtandaoni[/HEADING] [I]“Daah, mimi nimejaribu kupunguza kucheza michezo ya kubahatisha kwa muda wa miaka 6 sasa ila nimeshindwa, ni kama nimekuwa teja kwani nikipata hela yote tu ninachezea mpaka nimepoteza familia yangu yaani mke na mtoto, kwa kweli mpaka pesa ya kula tulikuwa tunakosa kabisa. Nimejaribu kupunguza ila nimeshindwa!” [/I]– Jonasi Kagori Je, wewe binafsi umeshapatwa na hali kama hii au mtu wako wa karibu ana hali kama hii? Unagundua umeshakuwa na uraibu au uteja wa kitu fulani pale ambapo unashindwa kuacha kukifanya au kukitumia kitu hicho hata kama kinakupatia hasara au kukuumiza kama ilivyokuwa kwa ndugu Kagori. Haya ni mapendekezo yetu ya kanuni za kuzifuata ili uweze kufurahia michezo ya kubashiri mitandaoni huku ukiwajibika: [LIST] [*]Michezo ya kubahatisha ni ya kujifurahisha, si njia pekee ya kujipata pesa; [*]Hakikisha kwamba unacheza wakati ukiwa umetulia na kuwa na amani; [*]Jipe muda wa mapumziko ya kawaida; [*]Amua mapema jinsi ambavyo hasara zako zinavyoweza kuwa ni kubwa; [*]Kamwe usicheze ukiwa umelewa au ukiwa na ushawishi wa vitu vingine; [*]Kamwe usicheze ukiwa na huzuni au mfadhaiko; [*]Kabla ya kuanza kucheza, amua ni kiasi gani cha kushinda ambacho utamaliza kwenye mchezo; [*]Usiongeze kikomo cha juu cha pesa za kutumia kwenye ubashiri wa mitandaoni ambacho umeamua kukiweka wewe mwenyewe; na [*]Amua mapema juu ya kiwango chako cha kila mwezi cha kutumia kwenye michezo ya kubashiri mitandaoni. Bila ya kujali kiwango chako cha kawaida cha miamala ya kutumia kubashiri, unaweza kuweka kiasi cha chini kama kikomo chako binafsi. [/LIST] Kwa msaada zaidi na ushauri kuhusu michezo ya kubashiri mtandaoni, tafadhali tembelea [URL='https://www.begambleaware.org/']BeGambleAware[/URL] na [URL='https://www.gamstop.co.uk/']GamStop[/URL]. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ubashiri na Mikeka
Tanzania na Ukuaji wa Soko la Ubashiri Mitandaoni.
Top
Bottom