TANZANITE KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI KUIWINDA ETHIOPIA.

mhariri

Mpiga Chabo
Dec 17, 2021
203
0
0
1641367916278.png
KIKOSI cha tmu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 20, Tanzanaite kitaingia kambini Jumamosi kujiandaa na mchezo wa Raundi ya Nne Kufuzu Kombe la Dunia dhidi Ethiopia.