Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MABINTI WA TANZANIA WAWACHAPA BOTSWANA 7-0

TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, imeitandika Botswana mabao 7-0 jioni ya leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika mchezo wa Raundi ya Pili kufuzu Kombe la Dunia baadaye mwaka huu nchini India.

Mabao ya Tanzania U17 leo yamefungwa na Neema Paul na Clara Luvanga kila mmoja mawili na Aisha Juma matatu.

Timu hizo zitarudiana Machi 20 Uwanja wa Obed Itani Chilume Jijini Francistown na mshindi wa jumla atakutana na Burundi katika Raundi ya Tatu kuwania kwenda Raundi ya mwisho ya mchujo.

[QUOTE="Amir, post: 1184, member: 20"] [HEADING=2]MABINTI WA TANZANIA WAWACHAPA BOTSWANA 7-0[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEghJVDhSoa7NPFRE9uWpmiAls9GxaFEkcXZlSYqt8X0zObkYEnHyv6etNuCfYNwiiOVu2ujp69PhvcM98-mSPdwpVC_MH_osHmUcM2AvAHegYOjfhLz63z9jFB2s1ZVermm8zDucSQ4kx9sBGwkPYa5l_Igzabef3GVC0XqlTLX5lJt4xzZHwJ_tBJa=w640-h424[/IMG] TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, imeitandika Botswana mabao 7-0 jioni ya leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika mchezo wa Raundi ya Pili kufuzu Kombe la Dunia baadaye mwaka huu nchini India. Mabao ya Tanzania U17 leo yamefungwa na Neema Paul na Clara Luvanga kila mmoja mawili na Aisha Juma matatu. Timu hizo zitarudiana Machi 20 Uwanja wa Obed Itani Chilume Jijini Francistown na mshindi wa jumla atakutana na Burundi katika Raundi ya Tatu kuwania kwenda Raundi ya mwisho ya mchujo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
Top
Bottom