Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

RAIS SAMIA AWACHANGIA SH MILIONI 15 TWIGA STARS

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ameahidi kuichangia timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars kiasi Sh. Milioni 15.

Rais Samia alitoa ahadi hiyo wakati akizungumza kwa simu na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba kwenye tamasha la harambee ya kuchangia Twiga Stars lililopewa jina, Orange Concect.

Kwa upande wake, Waziri Nchemba ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kutoa udhamini kwenye timu za wanawake ili ziweze kuendelea kufanya vizuri.

Nchemba amesema Mheshimiwa Rais amefanya mambo makubwa siyo tu kwenye sekta ya Michezo bali katika sekta mbalimbali.

Ametaja baadhi ya mambo makubwa ambayo Serikali imefanya kuwa ni maboresho makubwa kwenye huduma za jamii.

Pia amesema Mhe. Rais alivyoingia madarakani alielekeza watoa huduma walipwe madeni na maisha yao yameboreka.

[QUOTE="Amir, post: 1224, member: 20"] [HEADING=2]RAIS SAMIA AWACHANGIA SH MILIONI 15 TWIGA STARS[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgPphKfsTJq9Vw_rjsSdpCmdR2TdBJXQy2AytqjEEZzBDenrtqI1k0JOG-2HBuB7yGmigFSH45ICgvMANzCvWgwgNiSFpyIiIHYAxs1ACwK-sDvDud3ivHH8dc76xOlVKoFGotenlz69pjag1JZQP2DqxbXAzTE8K74s5pdAv_42UQSJHf5BQ9cYu2O=s1242'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgPphKfsTJq9Vw_rjsSdpCmdR2TdBJXQy2AytqjEEZzBDenrtqI1k0JOG-2HBuB7yGmigFSH45ICgvMANzCvWgwgNiSFpyIiIHYAxs1ACwK-sDvDud3ivHH8dc76xOlVKoFGotenlz69pjag1JZQP2DqxbXAzTE8K74s5pdAv_42UQSJHf5BQ9cYu2O=w640-h448[/IMG][/URL] RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ameahidi kuichangia timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars kiasi Sh. Milioni 15. Rais Samia alitoa ahadi hiyo wakati akizungumza kwa simu na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba kwenye tamasha la harambee ya kuchangia Twiga Stars lililopewa jina, Orange Concect. Kwa upande wake, Waziri Nchemba ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kutoa udhamini kwenye timu za wanawake ili ziweze kuendelea kufanya vizuri. Nchemba amesema Mheshimiwa Rais amefanya mambo makubwa siyo tu kwenye sekta ya Michezo bali katika sekta mbalimbali. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhx3lhc8g9h7s14DQZ8gM-QDM_f79ULGsS00RyzxLc4yR9sPCjBG6PFg9_Ma4TnRLL2g9OeZQa5RaO00mzrNTWL2WgO3f6K4BQMa1G4t035T2wqiEg266qNE1rSebi_r1LF-y7e3tAMJquKcuOYYschxmaFWx8S_8A0Tcm7fIz5Dra6tt8IXvr7URdN=s1242'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhx3lhc8g9h7s14DQZ8gM-QDM_f79ULGsS00RyzxLc4yR9sPCjBG6PFg9_Ma4TnRLL2g9OeZQa5RaO00mzrNTWL2WgO3f6K4BQMa1G4t035T2wqiEg266qNE1rSebi_r1LF-y7e3tAMJquKcuOYYschxmaFWx8S_8A0Tcm7fIz5Dra6tt8IXvr7URdN=w640-h428[/IMG][/URL] Ametaja baadhi ya mambo makubwa ambayo Serikali imefanya kuwa ni maboresho makubwa kwenye huduma za jamii. Pia amesema Mhe. Rais alivyoingia madarakani alielekeza watoa huduma walipwe madeni na maisha yao yameboreka. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
Top
Bottom