Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TANZANIA YASONGA MBELE KOMBE LA DUNIA WASICHANA U17

TIMU ya taifa ya wasichana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, leo imefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu kufuzu Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Botswana leo Uwanja wa Francistown mjini Francistown.

Mabao ya Tanzania yamefungwa na Neema Kinega dakika ya 28 na Clara Luvanga matatu dakika za 62, 63 na 81 na kwa matokeo hayo inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 11-0 kufuatia kuwachapa Botswana 8-0 kwenye mechi ya kwanza Zanzibar.

Sasa Tanzania itamenyana na Burundi kuwania kuingia hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya India baadaye mwaka huu.

[QUOTE="Amir, post: 1283, member: 20"] [HEADING=2]TANZANIA YASONGA MBELE KOMBE LA DUNIA WASICHANA U17[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvkwbJxWf8IyIpAAyOtxZ4pj0GPTkS9SqgpMDajk3KWC0lg-YdbjZUIShHHu6PavrEo_FWWze0aydHIoITW2Q9SdFu8i1MnjrC1zk7zMjTyzGgyAfPZ7T8l_H6evMNlIvZkv0AoXltlKEsnzcCNKt4va9t_sy8ah52mVOTGag4DVDYG3YdZ16o8lGh/w640-h640/EFF9C7E5-81A4-4F26-BE2B-7FA3D19C629C.jpeg[/IMG] TIMU ya taifa ya wasichana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, leo imefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu kufuzu Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Botswana leo Uwanja wa Francistown mjini Francistown. Mabao ya Tanzania yamefungwa na Neema Kinega dakika ya 28 na Clara Luvanga matatu dakika za 62, 63 na 81 na kwa matokeo hayo inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 11-0 kufuatia kuwachapa Botswana 8-0 kwenye mechi ya kwanza Zanzibar. Sasa Tanzania itamenyana na Burundi kuwania kuingia hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya India baadaye mwaka huu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
Top
Bottom