Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CAMEROON HAWAKUAMINI ALIYEPIGA HAT TRICK NI BINTI

MAAFISA wa Cameroon jana wamedaiwa kumkagua jinsia yake mshambuliaji wa Tanzania, Clara Luvanga ili kujiridhisha ni mwanamke kabla ya mchezo wa kwanza Raundi ya mwisho kufuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa Wasichana chini ya umri wa miaka 17.

Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé, Serengeti Girls ilishinda 4-1, huku Clara anayechezea Yanga Princess akipiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 29, 63 na 71 baada ya Diana William kufunga la kwanza dakika ya tatu, wakati na la wenyeji likifungwa na Mona Lamine dakika ya 26.

Pongezi kwa maafisa wa Tanzania walioambatana na timu hiyo kwa kumjenga kisaikolojia Clara pamoja na udhalilishaji huo aliofanyiwa, adha kama ambayo aliwahi kuipata mwanariadha wa Afrika Kusini, Caster Semenya ambaye baadhi wa watu walikuwa wanamtazama Caster kama mwanaume, sio mwanamke.

Timu hizo zitarudiana wiki ijayo Zanzibar, Serengeti Girls ikihitaji kuulinda ushindi wake ili kwenda India.

[QUOTE="Amir, post: 1493, member: 20"] [HEADING=2]CAMEROON HAWAKUAMINI ALIYEPIGA HAT TRICK NI BINTI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivDKqrQEGjrYPTRjoZOoEYQki6dd30h657nW5Hla1c91Gm4nSl1BjwcRJVx-HXv8J4FcBrSxPoMTS5SKejgXILq8YawHQyNjka8RBGOdSf33sLgMQBlqWHNxYyH3-7NwwRuqSD-UZwTZBoiiLOMnBAaC_WYSjSj5vKErog84KAOqSgXzu23Azf7KwR/s828/2B3F9F40-3921-4BEC-802A-F18C884D2651.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivDKqrQEGjrYPTRjoZOoEYQki6dd30h657nW5Hla1c91Gm4nSl1BjwcRJVx-HXv8J4FcBrSxPoMTS5SKejgXILq8YawHQyNjka8RBGOdSf33sLgMQBlqWHNxYyH3-7NwwRuqSD-UZwTZBoiiLOMnBAaC_WYSjSj5vKErog84KAOqSgXzu23Azf7KwR/w640-h640/2B3F9F40-3921-4BEC-802A-F18C884D2651.jpeg[/IMG][/URL] MAAFISA wa Cameroon jana wamedaiwa kumkagua jinsia yake mshambuliaji wa Tanzania, Clara Luvanga ili kujiridhisha ni mwanamke kabla ya mchezo wa kwanza Raundi ya mwisho kufuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa Wasichana chini ya umri wa miaka 17. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Uwanja wa Ahmadou Ahidjo Jijini Yaoundé, Serengeti Girls ilishinda 4-1, huku Clara anayechezea Yanga Princess akipiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 29, 63 na 71 baada ya Diana William kufunga la kwanza dakika ya tatu, wakati na la wenyeji likifungwa na Mona Lamine dakika ya 26. Pongezi kwa maafisa wa Tanzania walioambatana na timu hiyo kwa kumjenga kisaikolojia Clara pamoja na udhalilishaji huo aliofanyiwa, adha kama ambayo aliwahi kuipata mwanariadha wa Afrika Kusini, Caster Semenya ambaye baadhi wa watu walikuwa wanamtazama Caster kama mwanaume, sio mwanamke. Timu hizo zitarudiana wiki ijayo Zanzibar, Serengeti Girls ikihitaji kuulinda ushindi wake ili kwenda India. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
Top
Bottom