Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

TANZANITE YACHAPWA 2-0 NA ETHIOPIA ADDIS ABABA.

TIMU ya taifa za wasichana chini ya umri wa miaka 20 ya Tanzania. Tanzanite imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Ethiopia katika mchezo wa marudano Raundi ya Tatu kufuzu Kombe la Dunia jioni ya leo Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa.

Kwa matokeo hayo, Tanzanite inatolewa kwa jumla ya kichapo cha 2-1 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumapili iliyopita Uwanja wa Aman, Zanzibar.

Sasa Ethiopia itakutana na mshindi wa jumla kati ya Uganda na Ghana, ambao ni mtihani wa mwisho utakaotoa tiketi ya kwenda Costa Rica katika Fainali zitakazoanza Agosti 10 hadi 28, mwaka huu.

[QUOTE="mhariri, post: 737, member: 122"] [HEADING=2]TANZANITE YACHAPWA 2-0 NA ETHIOPIA ADDIS ABABA.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgDATcSEMQ1TLvrWt9NziSCdkxjKn00_u69gYDWcy6tktHhtVFzSieBzVvTLE7zzy7iP_lYgWOuunDCq6pNGDj32mHUtgS9HpSaZYYinDVp2XcgxTiE01vkjEdywjv8bACe2tp__o3eKRf71jNMyIs_UMkaqZGiJSWPTNXkkOv4XbsjlpcYRyo_WA70=w640-h640[/IMG] TIMU ya taifa za wasichana chini ya umri wa miaka 20 ya Tanzania. Tanzanite imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Ethiopia katika mchezo wa marudano Raundi ya Tatu kufuzu Kombe la Dunia jioni ya leo Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa. Kwa matokeo hayo, Tanzanite inatolewa kwa jumla ya kichapo cha 2-1 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumapili iliyopita Uwanja wa Aman, Zanzibar. Sasa Ethiopia itakutana na mshindi wa jumla kati ya Uganda na Ghana, ambao ni mtihani wa mwisho utakaotoa tiketi ya kwenda Costa Rica katika Fainali zitakazoanza Agosti 10 hadi 28, mwaka huu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TANZANITE
Top
Bottom