TANZIA! SINISA MIHAJLOVIC AFARIKI.

Capitano

Mgeni
Nov 8, 2022
10
29
5
Aliyewahi kuwa mchezaji wa vilabu vya Lazio na Inter Milan, raia wa Yugoslavia, mmoja wa dead ball masters kuwahi kutokea kwenye soka duniani, mchezaji aliyewahi kusema nanukuu "napenda sana free kicks, kwakuwa kwangu ni nzuri, na kama isingekuwa kuna free kicks kwenye mchezo wa mpira wa miguu nisingecheza"

Huyo ni Sinisa Mihajlovic aliyefariki kwa ugonjwa wa kansa ya damu, mtaalam huyu wa mipira iliyokufa amefariki akiwa na umri wa miaka 53 jijini Rome, nchini Italy. images (39).jpeg

R. I. P Sinisa Mihajlovic.
 
  • Like
Reactions: Brenda

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Aliyewahi kuwa mchezaji wa vilabu vya Lazio na Inter Milan, raia wa Yugoslavia, mmoja wa dead ball masters kuwahi kutokea kwenye soka duniani, mchezaji aliyewahi kusema nanukuu "napenda sana free kicks, kwakuwa kwangu ni nzuri, na kama isingekuwa kuna free kicks kwenye mchezo wa mpira wa miguu nisingecheza"

Huyo ni Sinisa Mihajlovic aliyefariki kwa ugonjwa wa kansa ya damu, mtaalam huyu wa mipira iliyokufa amefariki akiwa na umri wa miaka 53 jijini Rome, nchini Italy. View attachment 874

R. I. P Sinisa Mihajlovic.
Apumzike kwa Amani