Aliyewahi kuwa mchezaji wa vilabu vya Lazio na Inter Milan, raia wa Yugoslavia, mmoja wa dead ball masters kuwahi kutokea kwenye soka duniani, mchezaji aliyewahi kusema nanukuu "napenda sana free kicks, kwakuwa kwangu ni nzuri, na kama isingekuwa kuna free kicks kwenye mchezo wa mpira wa miguu nisingecheza"
Huyo ni Sinisa Mihajlovic aliyefariki kwa ugonjwa wa kansa ya damu, mtaalam huyu wa mipira iliyokufa amefariki akiwa na umri wa miaka 53 jijini Rome, nchini Italy.
R. I. P Sinisa Mihajlovic.
Huyo ni Sinisa Mihajlovic aliyefariki kwa ugonjwa wa kansa ya damu, mtaalam huyu wa mipira iliyokufa amefariki akiwa na umri wa miaka 53 jijini Rome, nchini Italy.

R. I. P Sinisa Mihajlovic.