Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
TANZIA! SINISA MIHAJLOVIC AFARIKI.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Aliyewahi kuwa mchezaji wa vilabu vya Lazio na Inter Milan, raia wa Yugoslavia, mmoja wa dead ball masters kuwahi kutokea kwenye soka duniani, mchezaji aliyewahi kusema nanukuu "napenda sana free kicks, kwakuwa kwangu ni nzuri, na kama isingekuwa kuna free kicks kwenye mchezo wa mpira wa miguu nisingecheza"

Huyo ni Sinisa Mihajlovic aliyefariki kwa ugonjwa wa kansa ya damu, mtaalam huyu wa mipira iliyokufa amefariki akiwa na umri wa miaka 53 jijini Rome, nchini Italy. [ATTACH=full]874[/ATTACH]

R. I. P Sinisa Mihajlovic.

[QUOTE="Capitano, post: 2212, member: 477"] Aliyewahi kuwa mchezaji wa vilabu vya Lazio na Inter Milan, raia wa Yugoslavia, mmoja wa dead ball masters kuwahi kutokea kwenye soka duniani, mchezaji aliyewahi kusema nanukuu "napenda sana free kicks, kwakuwa kwangu ni nzuri, na kama isingekuwa kuna free kicks kwenye mchezo wa mpira wa miguu nisingecheza" Huyo ni Sinisa Mihajlovic aliyefariki kwa ugonjwa wa kansa ya damu, mtaalam huyu wa mipira iliyokufa amefariki akiwa na umri wa miaka 53 jijini Rome, nchini Italy. [ATTACH type="full"]874[/ATTACH] R. I. P Sinisa Mihajlovic. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
TANZIA! SINISA MIHAJLOVIC AFARIKI.
Top
Bottom