Tatizo Simba au Vunjabei?
Kuelekea Simba day jezi za msimu huu zilikua bado na hata zilipokuja zilikuja chache mpaka mashabiki wakataka kuuana, this time uzinduzi wa jezi ulifanyika kabla hata ya jezi kufika na tulipohoji walisema zingeuzwa leo lakini mpaka leo bado hazijafika.
