Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kwanini?

1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa na Morali ambayo haielezeki.

2. Kocha Fadlu Davis na Benchi la Ufundi la Simba SC walikuwa tayari na Maandalizi ya Uwanja wa Mkapa ambao wanaujua vyema kuliko wa Amaan Zanzibar ambao huutumia kwa mara chache.

3. Viongozi wa Simba SC pamoja na wa Serikalini Kiufundi wamechangia mno kuharibu Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC kwa kuonyesha kuwa hata Wao hawautaki / hawakuutaka Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kuwa busy kufanya Ushawishi wa nguvu Kubwa CAF pamoja na Matamko ya kila aina ili tu CAF waruhusu Mechi ipigwe kwa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

4. Suala / Sakata la Uwanja limechelewesha Timu kufanya Maandalizi ya Kimkakati (ya Ndani na Njema) kuuendea huo Mchezo na kwa ambao kidogo tulishawahi Kutumika katika Maandalizi ya Kimafia ya Mechi za Kimataifa (hasa za Simba SC msimu wa 2012/2013) tuna wasiwasi mno.

5. Kipaumbele cha Uongozi wa Simba SC ulikuwa ni kupata Mapato ya Kukufuru kama Mechi ingechezwa kwa Mkapa Dar es Salaam (Tanzania Bara) na hakikuwa kuiandaa Timu vyema.

6. Sina uhakika kama Wachezaji wote wa Simba SC waliweza kuusoma Uwezo na Udhaifu wa Berkane FC zaidi ya Wao wote Kushangilia baada ya kufungwa Goli 2 kwa 0 (ambazo GENTAMYCINE naziita ni za Kizembe mno) kwa Wachezaji kukosa Umakini na kutaka kuonyesha kuwa wako juu ya Berkane FC kiuwezo wakati Kiuhalisia Watu wote wa Mpira tunajua kuwa Simba SC (pamoja na kufika CAFCC Final) bado ni Underdog mbele ya Berkane FC.

7. Wana Simba SC (kuanzia Msemaji), Uongozi na hata baadhi ya Watu katika Benchi la Ufundi kukataa kupokea USHAURI KUNTU kutoka kwa Wadau. Kwa mfano nilihoji sana hapa kuwa kwanini Kiungo Fabrice Ngoma ambaye ni Slow na anakabia Macho anaanza mbele ya Kiungo Deborah Fernandez ambaye ana Vitu vingi vya ziada nikaishia Kudhihakiwa na Kutukanwa.

Siku zote (Watu wa Mpira na tuliocheza Mpira hata wa Ndondo na wa Mashuleni au Vyuoni) tunajua kuwa ukiona tu Kiungo wa Ukabaji kama Yusuf Kagoma anahangaika sana huku muda mwingine akiamua Kufika (kucheza Rafu) jua ya kwenda Kiungo wa Ushambuliaji Fabrice Ngoma hatimizi Majukumu yake, ila wana Simba SC wengi kwakuwa tayari Masikioni na Machoni mwao wana Mahaba na Fabrice Ngoma kamwe hawawezi kuona Mapungufu yake makubwa ambayo kwa nyakati nyingi Huigharimu Timu.

Yangu ni haya tu na Karibuni katika Kunitukana kama kawaida yenu hasa mkiambiwa Ukweli ila nina wasiwasi mno na hii Mechi ya Fainali ya Pili Amaan Stadium Zanzibar kama tutashinda ila kwa Berkane FC ambao nimewaona Kiufundi nina uhakika kuwa bado hata hiyo Mechi watatufunga na hata kama Simba SC tushinda basi ni kwa Goli Moja (1) tu ambalo pia litakuwa ni Furaha kwao kwani watakuwa Mabingwa wa CAFCC 2024/2025.

[QUOTE="Hammy36, post: 15927, member: 617"] Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa na Morali ambayo haielezeki. 2. Kocha Fadlu Davis na Benchi la Ufundi la Simba SC walikuwa tayari na Maandalizi ya Uwanja wa Mkapa ambao wanaujua vyema kuliko wa Amaan Zanzibar ambao huutumia kwa mara chache. 3. Viongozi wa Simba SC pamoja na wa Serikalini Kiufundi wamechangia mno kuharibu Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC kwa kuonyesha kuwa hata Wao hawautaki / hawakuutaka Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kuwa busy kufanya Ushawishi wa nguvu Kubwa CAF pamoja na Matamko ya kila aina ili tu CAF waruhusu Mechi ipigwe kwa Mkapa Dar es Salaam Tanzania. 4. Suala / Sakata la Uwanja limechelewesha Timu kufanya Maandalizi ya Kimkakati (ya Ndani na Njema) kuuendea huo Mchezo na kwa ambao kidogo tulishawahi Kutumika katika Maandalizi ya Kimafia ya Mechi za Kimataifa (hasa za Simba SC msimu wa 2012/2013) tuna wasiwasi mno. 5. Kipaumbele cha Uongozi wa Simba SC ulikuwa ni kupata Mapato ya Kukufuru kama Mechi ingechezwa kwa Mkapa Dar es Salaam (Tanzania Bara) na hakikuwa kuiandaa Timu vyema. 6. Sina uhakika kama Wachezaji wote wa Simba SC waliweza kuusoma Uwezo na Udhaifu wa Berkane FC zaidi ya Wao wote Kushangilia baada ya kufungwa Goli 2 kwa 0 (ambazo GENTAMYCINE naziita ni za Kizembe mno) kwa Wachezaji kukosa Umakini na kutaka kuonyesha kuwa wako juu ya Berkane FC kiuwezo wakati Kiuhalisia Watu wote wa Mpira tunajua kuwa Simba SC (pamoja na kufika CAFCC Final) bado ni Underdog mbele ya Berkane FC. 7. Wana Simba SC (kuanzia Msemaji), Uongozi na hata baadhi ya Watu katika Benchi la Ufundi kukataa kupokea USHAURI KUNTU kutoka kwa Wadau. Kwa mfano nilihoji sana hapa kuwa kwanini Kiungo Fabrice Ngoma ambaye ni Slow na anakabia Macho anaanza mbele ya Kiungo Deborah Fernandez ambaye ana Vitu vingi vya ziada nikaishia Kudhihakiwa na Kutukanwa. Siku zote (Watu wa Mpira na tuliocheza Mpira hata wa Ndondo na wa Mashuleni au Vyuoni) tunajua kuwa ukiona tu Kiungo wa Ukabaji kama Yusuf Kagoma anahangaika sana huku muda mwingine akiamua Kufika (kucheza Rafu) jua ya kwenda Kiungo wa Ushambuliaji Fabrice Ngoma hatimizi Majukumu yake, ila wana Simba SC wengi kwakuwa tayari Masikioni na Machoni mwao wana Mahaba na Fabrice Ngoma kamwe hawawezi kuona Mapungufu yake makubwa ambayo kwa nyakati nyingi Huigharimu Timu. Yangu ni haya tu na Karibuni katika Kunitukana kama kawaida yenu hasa mkiambiwa Ukweli ila nina wasiwasi mno na hii Mechi ya Fainali ya Pili Amaan Stadium Zanzibar kama tutashinda ila kwa Berkane FC ambao nimewaona Kiufundi nina uhakika kuwa bado hata hiyo Mechi watatufunga na hata kama Simba SC tushinda basi ni kwa Goli Moja (1) tu ambalo pia litakuwa ni Furaha kwao kwani watakuwa Mabingwa wa CAFCC 2024/2025. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar
Top
Bottom