Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Technology inayotumika World cup ya Qatar haijawahi kutumika kokote Duniani. Mipira ya world cup inachajiwa ! UNAJUA ?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mipira inayotumiwa kwenye kombe Dunia Qatar  2022 iliyobuniwa na kampuni ya ADIDAS, imetengenezwa ikiwa na bettery ndogo ndani yake ambayo huisha charge baada ya saa sita.. Huisha charge baada ya saa (6) iwapo inatumika na siku kumi na nane (18) ikiwa haitumiki.

SENSOR yake ambayo ina uzito wa 14 grams hutumika ku-support technology ya Camera mbalimbali zilizofungwa kwenye pitch ambazo huwasaidia waamuzi kwenye matukio tata na OFFSIDE.

Kila mpira unapopigwa kwa mguu au kichwa nk.. SYSTEM huchora mistari zaidi ya 500 kwa sekunde moja ili kubainisha kama kuna Offside, Faulo na vitu kama hivyo..

.... Data hutumwa immediately kutoka kwenye SENSOR kwenda kwenye LOCAL POSITIONING SYSTEM (LPS), system ambayo inajumuisha setup ya network za antenna zote ambazo ziko installed kuzunguka eneo lote la kuchezea na Data huhifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya muda huo na matumizi ya baadae.

Iwapo mpira utapigwa nje ya eneo lililofungwa System hiyo na mpira mpya ukarushwa au kupigwa ndani ya pitch ku-replace mpira uliotoka, KINEXON 's BACKEND SYSTEM automatically hu-switch kutoka ule mpira uliotoka kwenda kwenye INPUT DATA za mpira ulioingia bila kuhitaji msaada wa binadamu...... Chukua hiyo ....

[QUOTE="Brenda, post: 1943, member: 464"] Mipira inayotumiwa kwenye kombe Dunia Qatar πΆπ¦ 2022 iliyobuniwa na kampuni ya ADIDAS, imetengenezwa ikiwa na bettery ndogo ndani yake ambayo huisha charge baada ya saa sita.. Huisha charge baada ya saa (6) iwapo inatumika na siku kumi na nane (18) ikiwa haitumiki. SENSOR yake ambayo ina uzito wa 14 grams hutumika ku-support technology ya Camera mbalimbali zilizofungwa kwenye pitch ambazo huwasaidia waamuzi kwenye matukio tata na OFFSIDE. Kila mpira unapopigwa kwa mguu au kichwa nk.. SYSTEM huchora mistari zaidi ya 500 kwa sekunde moja ili kubainisha kama kuna Offside, Faulo na vitu kama hivyo.. .... Data hutumwa immediately kutoka kwenye SENSOR kwenda kwenye LOCAL POSITIONING SYSTEM (LPS), system ambayo inajumuisha setup ya network za antenna zote ambazo ziko installed kuzunguka eneo lote la kuchezea na Data huhifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya muda huo na matumizi ya baadae. Iwapo mpira utapigwa nje ya eneo lililofungwa System hiyo na mpira mpya ukarushwa au kupigwa ndani ya pitch ku-replace mpira uliotoka, KINEXON 's BACKEND SYSTEM automatically hu-switch kutoka ule mpira uliotoka kwenda kwenye INPUT DATA za mpira ulioingia bila kuhitaji msaada wa binadamu...... Chukua hiyo .... βοΈ [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Technology inayotumika World cup ya Qatar haijawahi kutumika kokote Duniani. Mipira ya world cup inachajiwa ! UNAJUA ?
Top
Bottom