Ten Hag kuhusu Maguire

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Ten Hag: “Harry Maguire atakuwa na nafasi yake. Ni wazi anatosha kucheza kwa kiwango cha juu zaidi”, aliambia

"Tunataka Harry alete nguvu sawa na England akiwa uwanjani kwa Man Utd. Akifanya hivyo, atakuwa mchezaji mzuri kwetu”.D66F8A81-355E-49DD-97FC-D99C0ABD470F.jpeg