Ten Hag kuirudisha United ya Ferguson

Feb 7, 2023
61
36
5
Manchester United imekuwa kwenye kiwango bora tangu kurejea kwa ligi kuu Uingereza baada ya michuano ya world Cup.

United chini ya Eric Ten Hag wanacheza soka safi na kuvutia huku wakiwa wameshind michezo 28 kwenye michuano yote mpaka hivi sasa.

Wachambuzi wengi wamekuwa wanasifia uwezo wa kocha huyo akiwemo kipa wa zamani wa United Peter Schmeichel akisema nafikiri wamepata mtu sahihi kwa sasa (kocha).

Manchester United wakiwa kwenye kiwango bora pia wameifunga Arsenal, Liverpool, Spurs, Manchester City na Barcelona pale Old Trafford lakini pia bado wapo kwenye michuano ya FA cup,Carabao cup Fainali dhidi ya Newcastle, Premier league kama title contender na Europa league.

Je,ni kweli ETH anaipeleka United nchi ya ahadi baada ya kitambo kirefu au ni upepo upo upande wao kwa sasa?20230224_095957.jpg