Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Ten Hag kuirudisha United ya Ferguson
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Manchester United imekuwa kwenye kiwango bora tangu kurejea kwa ligi kuu Uingereza baada ya michuano ya world Cup.

United chini ya Eric Ten Hag wanacheza soka safi na kuvutia huku wakiwa wameshind michezo 28 kwenye michuano yote mpaka hivi sasa.

Wachambuzi wengi wamekuwa wanasifia uwezo wa kocha huyo akiwemo kipa wa zamani wa United Peter Schmeichel akisema nafikiri wamepata mtu sahihi kwa sasa (kocha).

Manchester United wakiwa kwenye kiwango bora pia wameifunga Arsenal, Liverpool, Spurs, Manchester City na Barcelona pale Old Trafford lakini pia bado wapo kwenye michuano ya FA cup,Carabao cup Fainali dhidi ya Newcastle, Premier league kama title contender na Europa league.

Je,ni kweli ETH anaipeleka United nchi ya ahadi baada ya kitambo kirefu au ni upepo upo upande wao kwa sasa?[ATTACH=full]1288[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3448, member: 622"] Manchester United imekuwa kwenye kiwango bora tangu kurejea kwa ligi kuu Uingereza baada ya michuano ya world Cup. United chini ya Eric Ten Hag wanacheza soka safi na kuvutia huku wakiwa wameshind michezo 28 kwenye michuano yote mpaka hivi sasa. Wachambuzi wengi wamekuwa wanasifia uwezo wa kocha huyo akiwemo kipa wa zamani wa United Peter Schmeichel akisema nafikiri wamepata mtu sahihi kwa sasa (kocha). Manchester United wakiwa kwenye kiwango bora pia wameifunga Arsenal, Liverpool, Spurs, Manchester City na Barcelona pale Old Trafford lakini pia bado wapo kwenye michuano ya FA cup,Carabao cup Fainali dhidi ya Newcastle, Premier league kama title contender na Europa league. Je,ni kweli ETH anaipeleka United nchi ya ahadi baada ya kitambo kirefu au ni upepo upo upande wao kwa sasa?[ATTACH type="full"]1288[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Ten Hag kuirudisha United ya Ferguson
Top
Bottom