Tetesi za kocha wa Liverpool "Jurgen Klopp" kuwa kocha mpya wa Germany

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Jurgen Klopp hakuwahi kuwa na nia ya kuteuliwa kuwa meneja mpya wa Ujerumani. Ameelekeza nguvu zake kwa 100% kwa Liverpool sasa, tayari anajadili usajili wapya na bodi na kusisitiza kwa Bellingham.

Klopp na bodi ya Liverpool pia wataamua pamoja kuhusu hali ya mikataba ya wachezaji.
FjbRKoEWQAAjtS4.jpg
 
  • Like
Reactions: UnclRugaRafiki