Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TFF kwani mipaka yake ni ipi? Hapa Clouds wanahusikaje? Kwanini wasijibu hoja zao
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Hawa TFF wameanza lini kusimania vyombo vya habari? wameanza lini kuzuia watu kusema yaliyowakumba? wangesubiri Alexander amalizie maelezo kisha wachukue hatu mana hivi ni kama vitisho.

Clouds wanahusikaje na TFF? chombo cha habari na wao wapi na wapi ni kama wanavuka mipaka kwenye taasisi isiyokua yao wao wadili na wahusika wao na sio chombo kilichotoa habari, vyombo vya habari ndo kazi zake kutoa taaifa yoyote iliyotoka kwa muhusika.

Ndomana mpira wetu hausogei kila siku ni kutishiana mpaka kuvuka mipaka wameshindwaje kusimamia kwenye eneo lao, Karia anatumiaga hisia zake kuendesha mpira wetu hata hao waliosema walipaswa kuombwa ushahidi na sio kuwaza tu hukumu kwasababu wao ndo wako madarakani basi wanaamua tu chochote. TUNA UONGOZI MBOVU WA MPIRA TANZANIA.

Na je ni kweli wameshutumiwa au wameambiwa ukweli? hii ndo ilikua hoja yakujibu, Mtu hawezi kuwekeza kwenye uwanja wake alafu mumzuie kutumia, Aliujenga kufanya nini? then ndo viongozi wa mpira na tunategemea maendelea kweli? Soka letu litabaki kujikongoja kama ndo uongozi huu wakutumia hisia tutaendelea nao.

[ATTACH=full]1047[/ATTACH]

[QUOTE="Mgunda Zone, post: 2976, member: 474"] Hawa TFF wameanza lini kusimania vyombo vya habari? wameanza lini kuzuia watu kusema yaliyowakumba? wangesubiri Alexander amalizie maelezo kisha wachukue hatu mana hivi ni kama vitisho. Clouds wanahusikaje na TFF? chombo cha habari na wao wapi na wapi ni kama wanavuka mipaka kwenye taasisi isiyokua yao wao wadili na wahusika wao na sio chombo kilichotoa habari, vyombo vya habari ndo kazi zake kutoa taaifa yoyote iliyotoka kwa muhusika. Ndomana mpira wetu hausogei kila siku ni kutishiana mpaka kuvuka mipaka wameshindwaje kusimamia kwenye eneo lao, Karia anatumiaga hisia zake kuendesha mpira wetu hata hao waliosema walipaswa kuombwa ushahidi na sio kuwaza tu hukumu kwasababu wao ndo wako madarakani basi wanaamua tu chochote. TUNA UONGOZI MBOVU WA MPIRA TANZANIA. Na je ni kweli wameshutumiwa au wameambiwa ukweli? hii ndo ilikua hoja yakujibu, Mtu hawezi kuwekeza kwenye uwanja wake alafu mumzuie kutumia, Aliujenga kufanya nini? then ndo viongozi wa mpira na tunategemea maendelea kweli? Soka letu litabaki kujikongoja kama ndo uongozi huu wakutumia hisia tutaendelea nao. [ATTACH type="full"]1047[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TFF kwani mipaka yake ni ipi? Hapa Clouds wanahusikaje? Kwanini wasijibu hoja zao
Top
Bottom