Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TFF Pamoja Na Viongozi Wa Klabu Za Simba Na Yanga Mjitafakari. Mpira Hauna Siasa, Dini, Rangi Wala Kabila!
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Bakari" data-source="post: 6496" data-attributes="member: 2316"><p>Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na siasa. Kwani Kila mtu ana itikadi yake anayoiamini ila suburi uwe nje ya mpira ndo ufanye hiyo itikadi Yako. Mpira hauna siasa wa dini Wala Rangi Wala kabila.</p><p></p><p>Bwana Wallece karia tunaomba ujidhuru Kwa kulinda heshima yko pia TFF tunaomba adhabu kali itolewe Kwa vilabu vya Yanga na Simba kuruhusu wasemaji wake kuchanganya mpira na Siasa. Angalia Kenya walifungiwa na FIFA Sasa kabla hayo hayajafika kwetu tunaomba hatua kali zifuatwe Kwa ho watu waliotajwa.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Bakari, post: 6496, member: 2316"] Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na siasa. Kwani Kila mtu ana itikadi yake anayoiamini ila suburi uwe nje ya mpira ndo ufanye hiyo itikadi Yako. Mpira hauna siasa wa dini Wala Rangi Wala kabila. Bwana Wallece karia tunaomba ujidhuru Kwa kulinda heshima yko pia TFF tunaomba adhabu kali itolewe Kwa vilabu vya Yanga na Simba kuruhusu wasemaji wake kuchanganya mpira na Siasa. Angalia Kenya walifungiwa na FIFA Sasa kabla hayo hayajafika kwetu tunaomba hatua kali zifuatwe Kwa ho watu waliotajwa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TFF Pamoja Na Viongozi Wa Klabu Za Simba Na Yanga Mjitafakari. Mpira Hauna Siasa, Dini, Rangi Wala Kabila!
Top
Bottom