TFF yataka mdhani mkuu kombe la shirikisho Azam

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na mdhamini mwingine.“Kombe linaitwa Azam kwa sababu tulisaini nao mkataba wa kuonyesha matangazo kwahiyo hakuna mdhamini mwingine ndio maana,” Karia rais a TFF
RAIS wa (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF.