

Huyu mwamba kulia aliyevalia fulana aliyenyoa namkumbuka enzi zile vijiji vyote vilikua bado havina umeme tulikua tunamsikiliza kwenye radio

Alikua mwamba sana japo wengi wetu hawajawahi kumshuhudia
Ninachokipenda kwake ni kwamba bado anaipenda Yanga sana mpaka leo,
Mbali na mpira ana busara za peke yake, Kikubwa ninachokumbuka aliwahi kuwashauri Yanga wasije wakamsajili YIKPE ila wakamsajili, kilichotukuta tunakijua wenyewe


Je, unamtambua kwa majina yake?
Na je unakumbuka kipi kutoka kwake?
Tuambiee tupige story kidogo

