Tunarudi Tena Kwenye Ligi Baada Ya Mapumziko Ya Kupisha Kombe La Dunia.
Ligi Ya Epl Ni Mbio Ndefu(Marathon) Hivyo Mikakati Ya Kucheza Ligi Huwa Ni Tofauti Na Mashindano Mafupi Kam Vile Carabao,Fa Na Europa league
Arsenal Tunaingia Ungwe Ya Pili Tukimkosa Forward Wetu Jesus Ni Big Blow Ila Ni Kwa Kipindi Kifupi System Ndio Itatupa Matokeo Mzunguko Huu Sababu Team Ilitengenezwa,Tegemea System Sio Mtu Mmoja.
Kukosekana Kwa Jesus Ni Cracks Ila naamini system Bado Ipo stable swala ni Namna Gani tunaendelea kuwa na ufanisi hapo mbele ya goal.
Uchezaj wetu asimilia Kubwa unawahitaji wachezaj Ambao Wako sharp kuchange position kulingana na transition ya team kiuchezaj.
Kwa Msingi huu tunatakiwa pale mbele tucheze kiteam Zaidi Nafasi zitengenezwe kumzunguka Kila Mtu anaekuwa kajiposition Kwenye Nafasi Nzuri Kufanya Hivyo.
Kwa mazingira haya nategemea kuona tukiendelea Kucheza Kwenye Misingi hii (overloading,isolating, spinning nk..) itatusaidia Sana Kutengeneza Nafasi Kila Sehemu uwanjani.
Ofcourse natambua Lazima Tuwe na mtu Mmoja pale mbele Ambae ndio Atakuwa source Kwenye pressing system yetu pia atakae kuwa Chanzo Cha Kuharibu defensive shape ya Mpinzani kuwalazimisha kummark Yeye Kuacha Nafasi Wengin kushambulia.
Hatujafanya Usajili ila tunae nketiah binafs naamin team iliona kitu kwake kumpa mkatab Mpya ni Nafasi ya nketiah kuwaprove watu Kwa nini aliaminiwa.
Usisahau hero emi Martinez ilianz pale Leno alipoumia Nae Kupata Nafasi akaprove value yake let's wait and see Kwa nketiah.