Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
The Return Of Premier League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tunarudi Tena Kwenye Ligi Baada Ya Mapumziko Ya Kupisha Kombe La Dunia.

Ligi Ya Epl Ni Mbio Ndefu(Marathon) Hivyo Mikakati Ya Kucheza Ligi Huwa Ni Tofauti Na Mashindano Mafupi Kam Vile Carabao,Fa Na Europa league

Arsenal Tunaingia Ungwe Ya Pili Tukimkosa Forward Wetu Jesus Ni Big Blow Ila Ni Kwa Kipindi Kifupi System Ndio Itatupa Matokeo Mzunguko Huu Sababu Team Ilitengenezwa,Tegemea System Sio Mtu Mmoja.

Kukosekana Kwa Jesus Ni Cracks Ila naamini system Bado Ipo stable swala ni Namna Gani tunaendelea kuwa na ufanisi hapo mbele ya goal.

Uchezaj wetu asimilia Kubwa unawahitaji wachezaj Ambao Wako sharp kuchange position kulingana na transition ya team kiuchezaj.

Kwa Msingi huu tunatakiwa pale mbele tucheze kiteam Zaidi Nafasi zitengenezwe kumzunguka Kila Mtu anaekuwa kajiposition Kwenye Nafasi Nzuri Kufanya Hivyo.

Kwa mazingira haya nategemea kuona tukiendelea Kucheza Kwenye Misingi hii (overloading,isolating, spinning nk..) itatusaidia Sana Kutengeneza Nafasi Kila Sehemu uwanjani.

Ofcourse natambua Lazima Tuwe na mtu Mmoja pale mbele Ambae ndio Atakuwa source Kwenye pressing system yetu pia atakae kuwa Chanzo Cha Kuharibu defensive shape ya Mpinzani kuwalazimisha kummark Yeye Kuacha Nafasi Wengin kushambulia.

Hatujafanya Usajili ila tunae nketiah binafs naamin team iliona kitu kwake kumpa mkatab Mpya ni Nafasi ya nketiah kuwaprove watu Kwa nini aliaminiwa.

Usisahau hero emi Martinez ilianz pale Leno alipoumia Nae Kupata Nafasi akaprove value yake let's wait and see Kwa nketiah.

[QUOTE="ChichaMandi, post: 2499, member: 573"] Tunarudi Tena Kwenye Ligi Baada Ya Mapumziko Ya Kupisha Kombe La Dunia. Ligi Ya Epl Ni Mbio Ndefu(Marathon) Hivyo Mikakati Ya Kucheza Ligi Huwa Ni Tofauti Na Mashindano Mafupi Kam Vile Carabao,Fa Na Europa league Arsenal Tunaingia Ungwe Ya Pili Tukimkosa Forward Wetu Jesus Ni Big Blow Ila Ni Kwa Kipindi Kifupi System Ndio Itatupa Matokeo Mzunguko Huu Sababu Team Ilitengenezwa,Tegemea System Sio Mtu Mmoja. Kukosekana Kwa Jesus Ni Cracks Ila naamini system Bado Ipo stable swala ni Namna Gani tunaendelea kuwa na ufanisi hapo mbele ya goal. Uchezaj wetu asimilia Kubwa unawahitaji wachezaj Ambao Wako sharp kuchange position kulingana na transition ya team kiuchezaj. Kwa Msingi huu tunatakiwa pale mbele tucheze kiteam Zaidi Nafasi zitengenezwe kumzunguka Kila Mtu anaekuwa kajiposition Kwenye Nafasi Nzuri Kufanya Hivyo. Kwa mazingira haya nategemea kuona tukiendelea Kucheza Kwenye Misingi hii (overloading,isolating, spinning nk..) itatusaidia Sana Kutengeneza Nafasi Kila Sehemu uwanjani. Ofcourse natambua Lazima Tuwe na mtu Mmoja pale mbele Ambae ndio Atakuwa source Kwenye pressing system yetu pia atakae kuwa Chanzo Cha Kuharibu defensive shape ya Mpinzani kuwalazimisha kummark Yeye Kuacha Nafasi Wengin kushambulia. Hatujafanya Usajili ila tunae nketiah binafs naamin team iliona kitu kwake kumpa mkatab Mpya ni Nafasi ya nketiah kuwaprove watu Kwa nini aliaminiwa. Usisahau hero emi Martinez ilianz pale Leno alipoumia Nae Kupata Nafasi akaprove value yake let's wait and see Kwa nketiah.✍🏿 [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
The Return Of Premier League
Top
Bottom