Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TIMU YA YANGA HUKO TUNISIA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic yakiwa ni mazoezi yao ya mwisho hapo Tunis.

Kikosi kimeonekana kuwa na furaha na maendeleo mazuri katika mazingira ya uwanja pamoja na hali ya hewa, kufatia mchezo wa marudiano utakaopigwa leo Novemba 10, 2022 Mjini Tunis.

Leo Yanga watakutana na wapinzani wao Club africain ukiwa ndo mchezo wao wa marudiano kombe la shirikisho CAF, Baada ya Mechi ya kwanza iliyochezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa Dar Es Salaam uliomalizika kwa 0-0 bila kufungana.

Yanga leo wanaitaji sare yoyote au ushindi ili kuweza kufuzu hatua ya makundi kombe Shirikisho CAF.

[ATTACH=full]462[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1705, member: 464"] Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi uwanja wa Hammedi Agrebi Olympic yakiwa ni mazoezi yao ya mwisho hapo Tunis. Kikosi kimeonekana kuwa na furaha na maendeleo mazuri katika mazingira ya uwanja pamoja na hali ya hewa, kufatia mchezo wa marudiano utakaopigwa leo Novemba 10, 2022 Mjini Tunis. Leo Yanga watakutana na wapinzani wao Club africain ukiwa ndo mchezo wao wa marudiano kombe la shirikisho CAF, Baada ya Mechi ya kwanza iliyochezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa Dar Es Salaam uliomalizika kwa 0-0 bila kufungana. Yanga leo wanaitaji sare yoyote au ushindi ili kuweza kufuzu hatua ya makundi kombe Shirikisho CAF. [ATTACH type="full"]462[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TIMU YA YANGA HUKO TUNISIA
Top
Bottom