Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TIMU ZOTE ZA LIGI KUU (NBC)
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MASHABIKI WA YANGA WAKIJIFARIJI

"Watu wanasema hivyo kutokana na hoja wengi wanayojaribu kujenga...

Hatukufungwa na Zalan tumefungwa na Timu ambayo kimashindano hakuna timu ya Tanzania inaweza kuifunga kwa Sasa (Al Hilal).

Tumetoa sare tasa ambayo kwetu ni kama ushindi kwani kule tukifunga goli moja tu tunasonga mbele dhidi ya Timu ambayo kimashindano hakuna timu ya Tanzania inayoifunga, tunalia nini?

Kama ni kulia walie Barcelona au Juventus ambao wametumia fedha ya kutosha na bado Club Brudge inasonga 16 bora inawaacha.

Halafu kwa upande wa Mashindano haya ya Shirikisho Yanga ndio Club ya Tanzania iliyofika hatua ya makundi mara nyingi zaidi kuliko timu nyingine yoyote hapa nchini. Lolote linaweza kutokea kule Tunisia na hata tukishindwa msimu huu tumepiga hatua moja mbele"

[ATTACH=full]410[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 1583, member: 464"] MASHABIKI WA YANGA WAKIJIFARIJI "Watu wanasema hivyo kutokana na hoja wengi wanayojaribu kujenga... Hatukufungwa na Zalan tumefungwa na Timu ambayo kimashindano hakuna timu ya Tanzania inaweza kuifunga kwa Sasa (Al Hilal). Tumetoa sare tasa ambayo kwetu ni kama ushindi kwani kule tukifunga goli moja tu tunasonga mbele dhidi ya Timu ambayo kimashindano hakuna timu ya Tanzania inayoifunga, tunalia nini? Kama ni kulia walie Barcelona au Juventus ambao wametumia fedha ya kutosha na bado Club Brudge inasonga 16 bora inawaacha. Halafu kwa upande wa Mashindano haya ya Shirikisho Yanga ndio Club ya Tanzania iliyofika hatua ya makundi mara nyingi zaidi kuliko timu nyingine yoyote hapa nchini. Lolote linaweza kutokea kule Tunisia na hata tukishindwa msimu huu tumepiga hatua moja mbele" [ATTACH type="full"]410[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
TIMU ZOTE ZA LIGI KUU (NBC)
Top
Bottom