Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.

Mo ni Mfadhili,Mmiliki(Mwanahisa by 49%), Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Mwanachama waSimba S.C lakini si mdhamini mkuu.Anachokifanya kupitia nafasi zake hizi ni kujitengenezea fursa za kimasoko bila mikataba maalum isiyokuwa na terms wala ukomo utakaoongeza dau la udhamini kila mwaka au mkataba utakapoisha.Hii ndio inaitwa MONOPOLY SYSTEM.

Kampuni za Mo ni different entities na zinahitaji makubaliano ya kimkataba kufanya dili yeyote na Simba Sc. Mkataba wa udhamini wa Kampuni za kibiashara za Mo ni wa gharama ndogo sana kulinganisha na Airtime ya matangazo wanayopewa na Simba kwa kampuni zake. Huu si unazi bali mnapaswa kukaa naye mezani na kumwambia ukweli kwa faida yenu hapo baadaye ili mnufaike kibiashara, si kweli kama yeye anapata hasara. Marketing power ya Klabu ni kubwa sana kuliko inavyoaminishwa.

[QUOTE="Bakari, post: 5099, member: 2316"] Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu. Mo ni Mfadhili,Mmiliki(Mwanahisa by 49%), Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi na Mwanachama waSimba S.C lakini si mdhamini mkuu.Anachokifanya kupitia nafasi zake hizi ni kujitengenezea fursa za kimasoko bila mikataba maalum isiyokuwa na terms wala ukomo utakaoongeza dau la udhamini kila mwaka au mkataba utakapoisha.Hii ndio inaitwa MONOPOLY SYSTEM. Kampuni za Mo ni different entities na zinahitaji makubaliano ya kimkataba kufanya dili yeyote na Simba Sc. Mkataba wa udhamini wa Kampuni za kibiashara za Mo ni wa gharama ndogo sana kulinganisha na Airtime ya matangazo wanayopewa na Simba kwa kampuni zake. Huu si unazi bali mnapaswa kukaa naye mezani na kumwambia ukweli kwa faida yenu hapo baadaye ili mnufaike kibiashara, si kweli kama yeye anapata hasara. Marketing power ya Klabu ni kubwa sana kuliko inavyoaminishwa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?
Top
Bottom