Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Team imeshind ila mngetaka mngeshinda mengi mno, yaan kipindi cha pili mkaja na approach ya kujikinda, unalinda kagoal kamoja mbele ya Viper anayepigwa kama ngoma na team nyingin. Jee mna uhakika wa kumfunga horoya?? Maan leo kapigwa kwao

Baada ya ya kuangalia mpira kwa dk 94 kwa uwezo wangu mdogo nimeona tuna mapungufu upande wa mfumo wetu bado wachezaj wanacheza kama sio timu moja back pass zinakuwa nyingi wakati forward line zinasababishwa kushuka chini sijui kama mfumo wetu unaweza kuendelea kutupa ushindi wa magori

Timu haina muunganiko katika final third upo ndan ya box punguza presha score chance ya kwanza aliyoipata Sakho akashindwa kuitumia ilimtoa mchezoni pili Chama atokee kati kati kama namba 10 na sio pembeni

Kipindi cha pili tumekata upepo tatizo ni Nini?? Maana hata Inonga Bacca alikuwa anawafokea wachezaji hawapandi mbele......Tumeshinda ila kipindi cha pili pumzi imekata na wachezaji walikuwa kama wanauogopa mpira.....Sasa sijajua ni fitness au ni nini!!!

Na hatuwezi kufika mbali nakwambia timu ina wachezaji watatu tu tegemezi FITNESS coach ni muongo huyo wachezaji pumzi zinakata, performance mbovu lazima tuwekane wazi wana Simba yaani tumeshinda ila raha hamna

Tunapoelekea huko mbele CAF CHAMPIONS LEAGUE itakua ngumu saana saana

[ATTACH=full]1389[/ATTACH]

[QUOTE="jamal, post: 3597, member: 471"] Team imeshind ila mngetaka mngeshinda mengi mno, yaan kipindi cha pili mkaja na approach ya kujikinda, unalinda kagoal kamoja mbele ya Viper anayepigwa kama ngoma na team nyingin. Jee mna uhakika wa kumfunga horoya?? Maan leo kapigwa kwao Baada ya ya kuangalia mpira kwa dk 94 kwa uwezo wangu mdogo nimeona tuna mapungufu upande wa mfumo wetu bado wachezaj wanacheza kama sio timu moja back pass zinakuwa nyingi wakati forward line zinasababishwa kushuka chini sijui kama mfumo wetu unaweza kuendelea kutupa ushindi wa magori Timu haina muunganiko katika final third upo ndan ya box punguza presha score chance ya kwanza aliyoipata Sakho akashindwa kuitumia ilimtoa mchezoni pili Chama atokee kati kati kama namba 10 na sio pembeni Kipindi cha pili tumekata upepo tatizo ni Nini?? Maana hata Inonga Bacca alikuwa anawafokea wachezaji hawapandi mbele......Tumeshinda ila kipindi cha pili pumzi imekata na wachezaji walikuwa kama wanauogopa mpira.....Sasa sijajua ni fitness au ni nini!!! Na hatuwezi kufika mbali nakwambia timu ina wachezaji watatu tu tegemezi FITNESS coach ni muongo huyo wachezaji pumzi zinakata, performance mbovu lazima tuwekane wazi wana Simba yaani tumeshinda ila raha hamna Tunapoelekea huko mbele CAF CHAMPIONS LEAGUE itakua ngumu saana saana [ATTACH type="full"]1389[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Tumeshinda lakini hatuna furaha papatupapatu
Top
Bottom