Tunamtaka De jong kwa hali na mali

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Ukiangalia mpira kwenye timu nyingi utaona CM wa ukweli ni Modric, Verat na De jong msifikir 10 Hag anamngangania Bure jamaa ni Yuko vizuri,

Sasa pata picha aje halafu akolee na Casemiro
 
  • Like
Reactions: Joan