Game itakuwa Ngumu sababu Barcelona walizoea kukutana na Manchester United inayobutua Sasa wanakutana na mpira wa Ten Hag unawekwa chini.
Tunawachezaji wanaojua kukaa na mpira Kama wao Barcelona game ya leo itaamuliwa na uwezo wa viungo wa team zote mbili
bahati nzuri team zote mbili hazina Wing back wale wakutisha Sana hivyo zinategemea Sana mipira ya Kati na mipira inayoweza kupandishwa na mabeki wa pembeni hivyo mpira utakuwa mzuri Sana na atakaye fanya makosa ataadhibiwa game haina draw lazima mmoja aumie.
Let’s goooo Reds
️