UCHAMBUZI WA AMBANGILE KWA YANGA

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
"Hii performance ya kucheza mechi za kimataifa , kuanzia filimbi ya kwanza mpaka ya mwisho , Yanga wamecheza kama wapo kwa Mkapa na sio ugenini , ujasiri wakiwa na mpira , uimara wa kuwania mpira kimwili , maarifa katika uzuiaji ... ndio hawakutengeneza nafasi nyingi lakini hata Club Africain hawakutengeneza ... sometimes nafasi / nusu nafasi moja inahitaji ukatili mbele ya goli kukupa ushindi . WELL DONE WANANCHI

Nabi kirahisi angeenda Tunisia na kupaki Bus lakini inaonekana anawaamini wachezaji wake , na 4-2-3-1 yake iliundwa kwa msingi wa kushambulia badala ya kucheza kwa ajili ya 0-0 , Feisal asogee karibu kwa Mayele , Sureboy na Aucho hakuna kiungo wa ulinzi asilia , lakini uwezo wao wa kukaa na mpira ni ulinzi tosha ... kutokana na Club Africain wanavyozuia ilikuwa ngumu Yanga kumfikia Mayele kirahisi , mistari miwili ya mwisho ya Club Africain ilikuwa finyu sana hakuna space

Timu zote mbili ziligoma kukabia juu , wote walikuwa wanasubiria mpinzani wake avuke mstari wa kati ndio waanze kuweka presha kwenye mpira na ndio wote walipata wakati mgumu kumfungua mwenzake ( vichwani mwao hakuna aliyetaka kuruhusu goli kwa nidhamu ya ulinzi )

Hakuna kazi ngumu kama kuifungua timu inayozuia kwa 4-4-2 ( Club Africain na Yanga ) wote walikuwa na shape hiyo ya ulinzi na walikuwa " compact sana " hakuna njia rahisi za kupita ilihitaji wakati mmoja wa ufundi na ubunifu kuamua mechi."
FhJdqflX0AEvvtv.jpg
 
  • Like
Reactions: jamal

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90

View attachment 470
Jamaa anajua sana mpira