Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
UCHAMBUZI WA AMBANGILE KWA YANGA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

"Hii performance ya kucheza mechi za kimataifa , kuanzia filimbi ya kwanza mpaka ya mwisho , Yanga wamecheza kama wapo kwa Mkapa na sio ugenini , ujasiri wakiwa na mpira , uimara wa kuwania mpira kimwili , maarifa katika uzuiaji ... ndio hawakutengeneza nafasi nyingi lakini hata Club Africain hawakutengeneza ... sometimes nafasi / nusu nafasi moja inahitaji ukatili mbele ya goli kukupa ushindi . WELL DONE WANANCHI

Nabi kirahisi angeenda Tunisia na kupaki Bus lakini inaonekana anawaamini wachezaji wake , na 4-2-3-1 yake iliundwa kwa msingi wa kushambulia badala ya kucheza kwa ajili ya 0-0 , Feisal asogee karibu kwa Mayele , Sureboy na Aucho hakuna kiungo wa ulinzi asilia , lakini uwezo wao wa kukaa na mpira ni ulinzi tosha ... kutokana na Club Africain wanavyozuia ilikuwa ngumu Yanga kumfikia Mayele kirahisi , mistari miwili ya mwisho ya Club Africain ilikuwa finyu sana hakuna space

Timu zote mbili ziligoma kukabia juu , wote walikuwa wanasubiria mpinzani wake avuke mstari wa kati ndio waanze kuweka presha kwenye mpira na ndio wote walipata wakati mgumu kumfungua mwenzake ( vichwani mwao hakuna aliyetaka kuruhusu goli kwa nidhamu ya ulinzi )

Hakuna kazi ngumu kama kuifungua timu inayozuia kwa 4-4-2 ( Club Africain na Yanga ) wote walikuwa na shape hiyo ya ulinzi na walikuwa " compact sana " hakuna njia rahisi za kupita ilihitaji wakati mmoja wa ufundi na ubunifu kuamua mechi."

[ATTACH=full]470[/ATTACH]

[QUOTE="Lukac, post: 1722, member: 472"] "Hii performance ya kucheza mechi za kimataifa , kuanzia filimbi ya kwanza mpaka ya mwisho , Yanga wamecheza kama wapo kwa Mkapa na sio ugenini , ujasiri wakiwa na mpira , uimara wa kuwania mpira kimwili , maarifa katika uzuiaji ... ndio hawakutengeneza nafasi nyingi lakini hata Club Africain hawakutengeneza ... sometimes nafasi / nusu nafasi moja inahitaji ukatili mbele ya goli kukupa ushindi . WELL DONE WANANCHI Nabi kirahisi angeenda Tunisia na kupaki Bus lakini inaonekana anawaamini wachezaji wake , na 4-2-3-1 yake iliundwa kwa msingi wa kushambulia badala ya kucheza kwa ajili ya 0-0 , Feisal asogee karibu kwa Mayele , Sureboy na Aucho hakuna kiungo wa ulinzi asilia , lakini uwezo wao wa kukaa na mpira ni ulinzi tosha ... kutokana na Club Africain wanavyozuia ilikuwa ngumu Yanga kumfikia Mayele kirahisi , mistari miwili ya mwisho ya Club Africain ilikuwa finyu sana hakuna space Timu zote mbili ziligoma kukabia juu , wote walikuwa wanasubiria mpinzani wake avuke mstari wa kati ndio waanze kuweka presha kwenye mpira na ndio wote walipata wakati mgumu kumfungua mwenzake ( vichwani mwao hakuna aliyetaka kuruhusu goli kwa nidhamu ya ulinzi ) Hakuna kazi ngumu kama kuifungua timu inayozuia kwa 4-4-2 ( Club Africain na Yanga ) wote walikuwa na shape hiyo ya ulinzi na walikuwa " compact sana " hakuna njia rahisi za kupita ilihitaji wakati mmoja wa ufundi na ubunifu kuamua mechi." [ATTACH type="full"]470[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
UCHAMBUZI WA AMBANGILE KWA YANGA
Top
Bottom