UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Matokeo ya match za jana UEFA

Viktoria FC 2-4 Barcelona
Bayern Munich 2-0 Inter
Rangers 1-3 Ajax
Liverpool 2-0 Napoli
Sporting 1-2 Eintracht Frankfurt
Marseille 1-2 Spurs
Bayer Leverkusen 0-0 Club Brugge

1667371680328.png
1667371711072.png
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Mechi za leo UEFA
AC Milan vs FC Salzburg
Chelsea vs Dinamo
Real Madrid vs Celtic
Shakhtar Donetsk vs RB Leipzig
Manchester City vs Sevilla
Juventus vs PSG
Maccabi Haifa vs Benfica
1667397353262.png
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
UMEITAMBUA HII???
Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Ujerumani Toni Kroos ameoneshwa kadi nyekundu kwa mara ya kwanza kwenye maisha yake ya soka.

Kroos ameonyeshwa kadi hiyo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Hispania dhidi ya Girona dakika ya 90 ya mchezo huo uliosha kwa sare ya 1-1.

Kross amejikuta akitabasamu baada ya kuoneshwa kadi hiyo nyekundu, kwani imemchukua miaka 15 katika kazi yake ya mpira wa Miguu akicheza michezo 740 bila kuonyeshwa kadi nyekundu.
 

Attachments

  • C90690A2-6665-4C32-8C16-DFBC9C999BE3.jpeg
    C90690A2-6665-4C32-8C16-DFBC9C999BE3.jpeg
    113.6 KB · Somwa: 0