Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mourinho Aiponda PSG vs Madrid.

JOSE Mourinho, Kocha wa AS Roma, amesema hakufurahishwa na mchezao kati ya PSG dhidi ya Real Madrid, huku akidai kwamba hajamisi kuwa ndani ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mourinho kwa sasa anainoa Roma ambayo haipo kwenye michuano hiyo, huku ikishiriki Europa Conference League.

Jumanne ya wiki hii, PSG iliifunga Real Madrid bao 1-0 ukiwa ni mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

“Nimekuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya nikisimamia mechi zaidi ya 150, hivyo sina presha, kwa sasa siwezi

kuanza kulia eti sababu kwa timu yangu ipo Europa au Conference League.

“Sijafuatilia mechi nyingi za Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu, ila sikupenda mechi ile ya PSG na Real Madrid

hata kidogo, walau mechi ya Inter Milan na Liverpool ilikuwa ni bora na nzuri,” alisema Mourinho ambaye aliwahi kuinoa Real Madrid kuanzia 2010 hadi 2013.

[QUOTE="vuligate, post: 1010, member: 123"] [HEADING=1]Mourinho Aiponda PSG vs Madrid.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/04/767474-jose-mourinho-troubled-reuters.jpg[/IMG] JOSE Mourinho, Kocha wa AS Roma, amesema hakufurahishwa na mchezao kati ya PSG dhidi ya Real Madrid, huku akidai kwamba hajamisi kuwa ndani ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mourinho kwa sasa anainoa Roma ambayo haipo kwenye michuano hiyo, huku ikishiriki Europa Conference League. Jumanne ya wiki hii, PSG iliifunga Real Madrid bao 1-0 ukiwa ni mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. “Nimekuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya nikisimamia mechi zaidi ya 150, hivyo sina presha, kwa sasa siwezi kuanza kulia eti sababu kwa timu yangu ipo Europa au Conference League. “Sijafuatilia mechi nyingi za Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu, ila sikupenda mechi ile ya PSG na Real Madrid hata kidogo, walau mechi ya Inter Milan na Liverpool ilikuwa ni bora na nzuri,” alisema Mourinho ambaye aliwahi kuinoa Real Madrid kuanzia 2010 hadi 2013. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom