Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Fainali UEFA kupigwa Ufaransa

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la soka Ulaya, UEFA imeamua kuhamisha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa Wanaume ya UEFA 2021/22 kutoka Saint Petersburg hadi Stade de France huko Saint-Denis baada ya kufanya kikao leo, asubuhi.

UEFA iliitisha mkutano wa dharula jana, Alhamisi ili leo, Ijumaa kujadili mpango wa kuhamisha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia uamuzi wa Russia kutangaza vita dhidi ya Ukraine. Mchezo huo wa fainali unatarajiwa kuchezwa Mei 28, 2022.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho hilo baada ya kikao hicho cha dharula, inaeleza kuwa, "UEFA inapenda kutoa shukurani zake na shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Emmanuel Macron kwa usaidizi wake binafsi na kujitolea kufanya mchezo wa kifahari wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kuhamishiwa Ufaransa."

"Pamoja na serikali ya Ufaransa, UEFA itaunga mkono kikamilifu juhudi za washikadau mbalimbali ili kuhakikisha utoaji wa uokoaji kwa wachezaji na familia zao nchini Ukraine ambao wanakabiliwa na mateso makubwa ya kibinadamu," taarifa hiyo ilieleza.

Katika mkutano huo kwa mujibu wa taarifa hiyo, Kamati ya Utendaji ya UEFA pia iliamua kwamba klabu za Ukraine na Russia na timu zao za taifa zitatakiwa kucheza michezo ambayo itawakutanisha nje ya mataifa yao hadi taarifa nyingine itakapotolewa.

[QUOTE="mhariri, post: 1078, member: 122"] [HEADING=1]Fainali UEFA kupigwa Ufaransa[/HEADING] [IMG alt="UEFA PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3729376/landscape_ratio16x9/1160/652/ce3131bcae024d0bfa5a9cc7c201c082/je/uefa-pic.jpg[/IMG] KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la soka Ulaya, UEFA imeamua kuhamisha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa Wanaume ya UEFA 2021/22 kutoka Saint Petersburg hadi Stade de France huko Saint-Denis baada ya kufanya kikao leo, asubuhi. UEFA iliitisha mkutano wa dharula jana, Alhamisi ili leo, Ijumaa kujadili mpango wa kuhamisha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia uamuzi wa Russia kutangaza vita dhidi ya Ukraine. Mchezo huo wa fainali unatarajiwa kuchezwa Mei 28, 2022. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho hilo baada ya kikao hicho cha dharula, inaeleza kuwa, "UEFA inapenda kutoa shukurani zake na shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Emmanuel Macron kwa usaidizi wake binafsi na kujitolea kufanya mchezo wa kifahari wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kuhamishiwa Ufaransa." "Pamoja na serikali ya Ufaransa, UEFA itaunga mkono kikamilifu juhudi za washikadau mbalimbali ili kuhakikisha utoaji wa uokoaji kwa wachezaji na familia zao nchini Ukraine ambao wanakabiliwa na mateso makubwa ya kibinadamu," taarifa hiyo ilieleza. Katika mkutano huo kwa mujibu wa taarifa hiyo, Kamati ya Utendaji ya UEFA pia iliamua kwamba klabu za Ukraine na Russia na timu zao za taifa zitatakiwa kucheza michezo ambayo itawakutanisha nje ya mataifa yao hadi taarifa nyingine itakapotolewa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom