Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Usiku wa Ulaya, kuna watu wanaaga huko

PARIS UFARANSA. NA leo tena. Ni kuhusu mchakamshaha wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo usiku wa leo Jumanne na kesho Jumatano zitapigwa mechi za marudiano za hatua ya 16 bora.

Shughuli inawasubiri RB Salzburg kuona kile kitakachowatokea huko Allianz Arena wakati watakapokwenda kuwakabili Bayern Munich kwenye uwanja wao wa nyumbani.

Kwenye mechi ya kwanza, Bayern Munich ililazimika kusawazisha dakika za mwisho kwenye sare ya 1-1, huku utaratibu wa msimu huu kwenye michuano hiyo ya Ulaya, bao la ugenini halina nguvu yoyote. Kipute hicho kitapigwa usiku wa leo Jumanne.

Mashabiki wa michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya watapata uhondo mwingine wakati Liverpool watakapojirusha uwanjani kwao Anfield kurudiana na Inter Milan.

Kwenye mechi ya kwanza, Liverpool ilipata ushindi wa mabao 2-0 uwanjani San Siro, hivyo kinachosubiriwa ni kuona kama Inter itaweza kupindua mechi ugenini ili kusonga hatua inayofuata ya michuano hiyo yenye upinzani mkubwa huko Ulaya. Wataweza?

Manchester City ikiwa kwenye kiwango bora kabisa itakuwa uwanjani Etihad kuwakaribisha Sporting CP kwenye mchezo huo wa hatua ya 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Ikitokea kuichapa Manchester United 4-1 kwenye Ligi Kuu England, Man City itarudi kwenye michuano ya Ulaya usiku wa kesho Jumatano kurudiana Sporting, ambapo kwenye mechi ya kwanza ilishinda mabao 5-0 ugenini. Labda itakee maajabu, lakini kwa kawaida tu, Man City itacheza kukamilisha ratiba kabla ya kutinga kwenye hatua inayofuata ya robo fainali.

Shughuli pevu zaidi kwa hiyo kesho itakuwa huko Bernabeu, ambapo mabingwa wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid itakaposhuka uwanjani kuikaribisha Paris Saint-Germain iliyosheheni mastaa kibao kwenye kikosi chake.

PSG yenye mastaa matata kama Neymar, Lionel Messi na Kylian Mbappe watakwenda kwenye mechi hiyo wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa bao 1-0 kwenye mechi ya kwanza iliyofanyika Parc des Princes. Macho ya wengi watakuwa huko Bernabeu kuona kama Carlo Ancelotti na chama lake la Los Blancos ataweza kupindua meza dhidi ya masupastaa hao wa Mauricio Pochettino.

[QUOTE="mhariri, post: 1208, member: 122"] [HEADING=1]Usiku wa Ulaya, kuna watu wanaaga huko[/HEADING] [IMG alt="UEFA PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3740884/landscape_ratio16x9/1160/652/6ed04cf94a7fcd8288b483d329f756b1/rE/uefa-pic.jpg[/IMG] [B]PARIS UFARANSA[/B]. NA leo tena. Ni kuhusu mchakamshaha wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo usiku wa leo Jumanne na kesho Jumatano zitapigwa mechi za marudiano za hatua ya 16 bora. Shughuli inawasubiri RB Salzburg kuona kile kitakachowatokea huko Allianz Arena wakati watakapokwenda kuwakabili Bayern Munich kwenye uwanja wao wa nyumbani. Kwenye mechi ya kwanza, Bayern Munich ililazimika kusawazisha dakika za mwisho kwenye sare ya 1-1, huku utaratibu wa msimu huu kwenye michuano hiyo ya Ulaya, bao la ugenini halina nguvu yoyote. Kipute hicho kitapigwa usiku wa leo Jumanne. Mashabiki wa michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya watapata uhondo mwingine wakati Liverpool watakapojirusha uwanjani kwao Anfield kurudiana na Inter Milan. Kwenye mechi ya kwanza, Liverpool ilipata ushindi wa mabao 2-0 uwanjani San Siro, hivyo kinachosubiriwa ni kuona kama Inter itaweza kupindua mechi ugenini ili kusonga hatua inayofuata ya michuano hiyo yenye upinzani mkubwa huko Ulaya. Wataweza? Manchester City ikiwa kwenye kiwango bora kabisa itakuwa uwanjani Etihad kuwakaribisha Sporting CP kwenye mchezo huo wa hatua ya 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. Ikitokea kuichapa Manchester United 4-1 kwenye Ligi Kuu England, Man City itarudi kwenye michuano ya Ulaya usiku wa kesho Jumatano kurudiana Sporting, ambapo kwenye mechi ya kwanza ilishinda mabao 5-0 ugenini. Labda itakee maajabu, lakini kwa kawaida tu, Man City itacheza kukamilisha ratiba kabla ya kutinga kwenye hatua inayofuata ya robo fainali. Shughuli pevu zaidi kwa hiyo kesho itakuwa huko Bernabeu, ambapo mabingwa wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid itakaposhuka uwanjani kuikaribisha Paris Saint-Germain iliyosheheni mastaa kibao kwenye kikosi chake. PSG yenye mastaa matata kama Neymar, Lionel Messi na Kylian Mbappe watakwenda kwenye mechi hiyo wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa bao 1-0 kwenye mechi ya kwanza iliyofanyika Parc des Princes. Macho ya wengi watakuwa huko Bernabeu kuona kama Carlo Ancelotti na chama lake la Los Blancos ataweza kupindua meza dhidi ya masupastaa hao wa Mauricio Pochettino. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom