Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LEWANDOWSKI AWEKA REKODI MPYA YA HAT TRICK ULAYA

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski ameweka rekodi ya kufunga hat-trick ya mapema kwenye historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya jana akiiwezesha Bayern Munich kutinga Robo Fainali kwa ushindi wa 7-1 dhidi ya RB Salzburg.

Katika mchezo huo wa marudiano Hatua ya 16 Bora usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich, Lewandowski alitumia dakika ya 23 tu za mwanzo kufunga mabao yote matatu, akivunja rekodi iliyokwekwa Marco Simone ya kutumia dakika 24 kupiga hat-trick akiwa na AC Milan dhidi ya Rosenborg b mwaka 1996.

Lewandowski alifunga dakika ya 12 na 21 kwa penalti na lingine dakika ya 23, wakati mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Serge Gnabry dakika ya 31, Thomas Muller dakika ya 54 na 85 na Leroy Sané dakika ya 85, wakati bao pekee la RB Salzburg lilifungwa na Maurits Kjaergaard dakika ya 70.

[QUOTE="Amir, post: 1213, member: 20"] [HEADING=2]LEWANDOWSKI AWEKA REKODI MPYA YA HAT TRICK ULAYA[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgUbs1Zycv0UZau8ofzfysbTG8l0XdRQfR571UFTPY1cWIEJWa9m7lFPTZ1ueazlb1GWBXgo12SUAWYeTMn-cUVsKNxiu4N-aIhv3msaT_xm_6N7ooG7ojsLuW4bzLBwVvAds3MAZngmLdC9u0Y3cFcZ5si11PFzkJRoL6aFnkMq9F4TPEHwUymYABh=w640-h484[/IMG] MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski ameweka rekodi ya kufunga hat-trick ya mapema kwenye historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya jana akiiwezesha Bayern Munich kutinga Robo Fainali kwa ushindi wa 7-1 dhidi ya RB Salzburg. Katika mchezo huo wa marudiano Hatua ya 16 Bora usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich, Lewandowski alitumia dakika ya 23 tu za mwanzo kufunga mabao yote matatu, akivunja rekodi iliyokwekwa Marco Simone ya kutumia dakika 24 kupiga hat-trick akiwa na AC Milan dhidi ya Rosenborg b mwaka 1996. Lewandowski alifunga dakika ya 12 na 21 kwa penalti na lingine dakika ya 23, wakati mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Serge Gnabry dakika ya 31, Thomas Muller dakika ya 54 na 85 na Leroy Sané dakika ya 85, wakati bao pekee la RB Salzburg lilifungwa na Maurits Kjaergaard dakika ya 70. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom