Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LIVERPOOL YASINDIKIZWA ROBO FAINALI NA BAKORA

WENYEJI, Liverpool wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kuchapwa 1-0 na Inter Milan ya Italia usiku wa jana Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool, England katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora.

Bao pekee la Inter jana lilifungwa na Lautaro Martinez dakika ya 61, kabla ya timu hiyo ya Milan kupata pigo kufuatia mshambuliaji wake, Alexis Sanchez kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 63 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano.

Liverpool inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Milan, mabao ya Roberto Firmino na Mo Salah.

[QUOTE="Amir, post: 1214, member: 20"] [HEADING=2]LIVERPOOL YASINDIKIZWA ROBO FAINALI NA BAKORA[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgACyGaa5iXbJN77EmEmbpI0TSKxaMj5J_lzYcu7VlZw0vxSB69QRbe3m8tVmecpvC5IMsx8pYU8VPCQh8XnP4Y9_L6NUlaOKtTUe_BoD7tSxVi3GKMPRIhklLA7lwHr0Zd4Lir7QwJ3NHTHXh_-4Gj5bKNuWaHHLqGvwoNpZ2m5yPvqmnS0mONAydB=w640-h424[/IMG] WENYEJI, Liverpool wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kuchapwa 1-0 na Inter Milan ya Italia usiku wa jana Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool, England katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora. Bao pekee la Inter jana lilifungwa na Lautaro Martinez dakika ya 61, kabla ya timu hiyo ya Milan kupata pigo kufuatia mshambuliaji wake, Alexis Sanchez kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 63 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano. Liverpool inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Milan, mabao ya Roberto Firmino na Mo Salah. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom