Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

BENZEMA AIPELEKA REAL NUSU FAINALI, BAYERN OUT

WENYEJI, Real Madrid wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kuchapwa mabao 3-2 na waliokuwa mabingwa watetezi, Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid, Hispania.

Mabao ya Chelsea yalifungwa na Mason Mount dakika ya 15, Antonio Rudiger dakika ya 51 na Timo Werner dakika ya 75, wakati ya Real Madrid yalifungwa na Rodrygo dakika ya 80 na Karim Benzema dakika ya 96.

Baada ya The Blues kumaliza wanaongoza 3-1, mechi iliongezewa dakika 30, kwa sababu matokeo ya jumla yalikuwa 4-4.

Real wanakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-4 baada ya kuwachapa mabingwa hao wa msimu uliopita 3-1 kwenye mechi ya kwanza Jumatano iliyopita Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Mechi nyingine ya jana, wenyeji Bayern Munich wametupwa nje baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Villarreal, hivyo kutupwa nje kwa jumla ya mabao 2-1 kufuatia kuchapwa 1-0 Hispania kwenye mechi ya kwanza.

[QUOTE="Amir, post: 1403, member: 20"] [HEADING=2]BENZEMA AIPELEKA REAL NUSU FAINALI, BAYERN OUT[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR2Gpj7C1pM3PhxpOOsGF7EKiIk01Drb6eWmPMXTKvhQr9q6QhI97jjtj5W1Ma1bQ5-rkWa4yJ9TzubIJesIkZsScyCVv08TNZV862Bwa0YE-2npzG64Rhkgkxnwx6nVYDEzyZruB5yFifd0zdtkeWqn-jBg1plPlDzLtEcTNOAD15iVFNrVtuEETC/s962/234B2A9D-C5A2-463B-B572-65E7F2316BEB.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR2Gpj7C1pM3PhxpOOsGF7EKiIk01Drb6eWmPMXTKvhQr9q6QhI97jjtj5W1Ma1bQ5-rkWa4yJ9TzubIJesIkZsScyCVv08TNZV862Bwa0YE-2npzG64Rhkgkxnwx6nVYDEzyZruB5yFifd0zdtkeWqn-jBg1plPlDzLtEcTNOAD15iVFNrVtuEETC/w640-h426/234B2A9D-C5A2-463B-B572-65E7F2316BEB.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Real Madrid wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kuchapwa mabao 3-2 na waliokuwa mabingwa watetezi, Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid, Hispania. Mabao ya Chelsea yalifungwa na Mason Mount dakika ya 15, Antonio Rudiger dakika ya 51 na Timo Werner dakika ya 75, wakati ya Real Madrid yalifungwa na Rodrygo dakika ya 80 na Karim Benzema dakika ya 96. Baada ya The Blues kumaliza wanaongoza 3-1, mechi iliongezewa dakika 30, kwa sababu matokeo ya jumla yalikuwa 4-4. Real wanakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-4 baada ya kuwachapa mabingwa hao wa msimu uliopita 3-1 kwenye mechi ya kwanza Jumatano iliyopita Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mechi nyingine ya jana, wenyeji Bayern Munich wametupwa nje baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Villarreal, hivyo kutupwa nje kwa jumla ya mabao 2-1 kufuatia kuchapwa 1-0 Hispania kwenye mechi ya kwanza. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom