Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

FIRMINO AIPELEKA LIVERPOOL NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA

WENYEJI, Liverpool wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya sare ya 3-3 na Benfica ya Ureno usiku wa Jumatano katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Uwanja wa Anfield, Liverpool, England.

Liverpool inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-4 kufuatia kuwachapa 2-1 Benfica kwao wiki iliyopita.

Mabao ya Liverpool yalifungwa na Ibrahima Konate dakika ya 21 na Roberto Firmino mawili, dakika ya 55 na 65, wakati ya Benfica yamefungwa na Goncalo Ramos dakika ya 32, Roman Yaremchuk dakika ya 73 na Darwin Nunez dakika ya 81.

Sasa Liverpool itakutana na Villarreal ya Hispania iliyoitoa Bayern Munich ya Ujerumani kwa jumla la mabao 2-1, ikishinda 1-0 nyumbani na sare y 1-1 Ujerumani juzi.

[QUOTE="Amir, post: 1407, member: 20"] [HEADING=2]FIRMINO AIPELEKA LIVERPOOL NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2oPeqe7eTzp2uydEJCGlU9H3e9rT_8HZC4g7p52KeSUYbfVabTUbwmSgZ5lRTcEbkC_a6i8sCxOGRyIGsvjC3Yj63R7JbGx9bYG4EVutJJOf5VwqRaNCh9fb1M3Fbawhvbi3RisVwjCtgl9jVg9z6VVBORhKiKKR2bkD1UIlM5hZEX2oLQcLeDZYX/s962/A2A25540-3E52-4AE5-B303-44A480DA7C7B.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2oPeqe7eTzp2uydEJCGlU9H3e9rT_8HZC4g7p52KeSUYbfVabTUbwmSgZ5lRTcEbkC_a6i8sCxOGRyIGsvjC3Yj63R7JbGx9bYG4EVutJJOf5VwqRaNCh9fb1M3Fbawhvbi3RisVwjCtgl9jVg9z6VVBORhKiKKR2bkD1UIlM5hZEX2oLQcLeDZYX/w640-h430/A2A25540-3E52-4AE5-B303-44A480DA7C7B.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Liverpool wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya sare ya 3-3 na Benfica ya Ureno usiku wa Jumatano katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Uwanja wa Anfield, Liverpool, England. Liverpool inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-4 kufuatia kuwachapa 2-1 Benfica kwao wiki iliyopita. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Ibrahima Konate dakika ya 21 na Roberto Firmino mawili, dakika ya 55 na 65, wakati ya Benfica yamefungwa na Goncalo Ramos dakika ya 32, Roman Yaremchuk dakika ya 73 na Darwin Nunez dakika ya 81. Sasa Liverpool itakutana na Villarreal ya Hispania iliyoitoa Bayern Munich ya Ujerumani kwa jumla la mabao 2-1, ikishinda 1-0 nyumbani na sare y 1-1 Ujerumani juzi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom