Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAN CITY YAICHAPA REAL MADRID 4-3 ETIHAD

WENYEJI, Manchester City jana wamepata ushindi wa 4-3 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad, Jijini Manchester.

Mabao ya Man City yamefungwa na Kevin De Bruyne dakika ya pili, Gabriel Jesus dakika ya 11, Phil Foden dakika ya 53 na Bernardo Silva dakika ya 74.

Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 33 akimalizia pasi ya Mfaransa mwenzake, beki Ferland Mendy dakika ya 33 na la penalti ya Panenka dakika ya 82 na lingine Vinícius Júnior dakika ya 55.

Timu hizo zitarudiana Mei 4 Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid.

[QUOTE="Amir, post: 1447, member: 20"] [HEADING=2]MAN CITY YAICHAPA REAL MADRID 4-3 ETIHAD[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgk4ZuMpFaP4mp_VIuiO3rCulQ6d32Sqzd5_4WxIh8aZ6SQBDXi5umLEvXm-RBbJfXN3rCaLqoquK8LPmTiMCc9znFwLV943hpusu8XES-ERMt2mwDzrE6E8CbJzyyddqbbPHlZ5ReoIVNJxcaQ-4930bcfptiAcoAgv5Ny5c_IRBv3JRQvTjI2V5e/s962/57084679-10754419-image-a-88_1651006644588.jpg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgk4ZuMpFaP4mp_VIuiO3rCulQ6d32Sqzd5_4WxIh8aZ6SQBDXi5umLEvXm-RBbJfXN3rCaLqoquK8LPmTiMCc9znFwLV943hpusu8XES-ERMt2mwDzrE6E8CbJzyyddqbbPHlZ5ReoIVNJxcaQ-4930bcfptiAcoAgv5Ny5c_IRBv3JRQvTjI2V5e/w640-h444/57084679-10754419-image-a-88_1651006644588.jpg[/IMG][/URL] WENYEJI, Manchester City jana wamepata ushindi wa 4-3 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad, Jijini Manchester. Mabao ya Man City yamefungwa na Kevin De Bruyne dakika ya pili, Gabriel Jesus dakika ya 11, Phil Foden dakika ya 53 na Bernardo Silva dakika ya 74. Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 33 akimalizia pasi ya Mfaransa mwenzake, beki Ferland Mendy dakika ya 33 na la penalti ya Panenka dakika ya 82 na lingine Vinícius Júnior dakika ya 55. Timu hizo zitarudiana Mei 4 Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
UEFA Champions League
Top
Bottom